Video musical

Incluido en

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Vocals
Mocco Genius
Mocco Genius
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Mocco Genius
Producer

Letra

Mwenyewe anaona sawa Ila mwambie mimi ananiumiza sana Ni zaidi ya kupagawa Siponi ugonjwa na nishamaliza dawa Aaaaah, aaahh Na ajue bado nipo Ila hali yangu hohehahe sina mabadiliko Machozi mafuriko Fundi wa jiko langu kaacha mawe Mpaka akalamba mwiko Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Mwili wote peteka Sina afadhali mawazo yanitesa Mavodabodeka ni ka misumari Naanza dhoofika Mwili wote peteka Sina afadhali mawazo yanitesa Mavodabodeka ni ka misumari Naanza dhoofika Bado ndo ndo ndo chururu Nikijaza hakijai kibaba Na misongo songo msururu Sita haikai saba Mimi kitorondo we kunguru Mbao zangu hazimpi msaada Makombe nishaoga dawa ka susuru Huenda akasahau labda Kitandani mito ipo miwili Ubavu wewe ubavu mimi Pakata ndiko imewekwa shubiri Nalikwepa nalala chini Nimefuta picha Tulizopiga chumbani Ila bado zanisuta suta Zimebaki kichwani Silali nashtuka shtuka Unaniita kizani Chozi la niwesha shuka Na sina wa kunifuta nani Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Mwili wote peteka Sina afadhali mawazo yanitesa Mavodabodeka ni ka misumari Naanza dhoofika Mwili wote peteka Sina afadhali mawazo yanitesa Mavodabodeka ni ka misumari Naanza dhoofika Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi Toka alivyoniacha Sina nyota wala mwezi Mwenzake nimekamatwa Na homa ya mapenzi (Wasafi)
Writer(s): Sheila Shorongo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out