Letra

Walisemaga duniaaaa Ina mapambo yake Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake Nimezunguka nimefika kwake Siwezi ficha nimeshanasa kwa pendo lake Rabana kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole Hata mama kakusifu sana Ni tofauti na wale wa jana Kule nilizama Tafadhali niokoe mama ma Unipulize nipoe We ndo my queen baby my only Sitopenda wende mbali one day We ndo my queen baby my only Sitopenda uende mbali one day Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe We kama mtoto minakubembeleza Jiachie tu nikubebe Najicho lako la kungu kama lanikonyeza Jiachie tu nikubebe Mmmhh mh Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata Kisura shape sio tembo nitaweka nembo watoto kupata Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata Kisura shape sio tembo nitaweka nembo watoto kupata Koleza moto tupike tembele Kisamvu cha nazi njegere Zisikutishe kelele sikuachiii Linda na shamba wasije ngedere Kuku niite kwa mchele Mi sipigani na wewe Mi natii Ndio maana kwako nimezama Sitaki mi wanitoe mama ma Unipulize nipoe We ndo my queen baby my only Sitopenda wende mbali one day We ndo my queen baby my only Sitopenda uende mbali one day Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe We kama mtoto minakubembeleza Jiachie tu nikubebe Najicho lako la kungu kama lanikonyeza Jiachie tu nikubebe Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe Naficha mbeleko kwa ajili yako Jiachie tu nikubebe We kama mtoto minakubembeleza Jiachie tu nikubebe Najicho lako la kungu kama lanikonyeza Jiachie tu nikubebe Jiachie tu nikubebe Jiachie tu nikubebe We kama mtoto minakubembeleza Najicho lako la kungu kama lanikonyeza
Writer(s): Raymond Mwakyusa, Siraju Amani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out