Letra

Joefes Biasha kupenya ni sokomoko Photo ni moto sijawahi choma mboto Heri wa kwanza wa pili huwa ni hoho Ni mkali lakini siwezi chase her Ni mkali si buda huwezi cheza Kama wewe, I got chicks kila pande kama mwewe Wewe unajifanya hutujui Mavo juu ya track Unajifanya me si chui In the morning nakaa ka ako na kishada Nikuite hunny unakaa ka vile unakaa Ndani sikusize unakaa ye ni mweupe pe Unadai ananyuma Shikwekwe kwe Unadai ni kasupa kakembwe mbwee We ni diva malkia nikembe Ni sese ni keke nikule nitoke Nichoche i cheche che Drip Eye Chini kwa chini toka chini kufa juu Hatutaki simba hapa juu ndovu ni kuu Mbati ni chu ungati peleka loo Bei nafuu na sasa mbona unishuku Kuku, ako in danger geuzwa supu Picha sipati hajawai tuma tupu Si wanyama huku tunaua nyuku Wewe, unajifanya hutujui Chorus In the morning nakaa ka ako na kishada Nikuite hunny unakaa ka vile unakaa Ndani sikusize unakaa ye ni mweupe pe Unadai ananyuma Shikwekwe kwe Unadai ni kasupa kakembwe mbwee We ni diva malkia nikembe Ni sese ni keke nikule nitoke Nichoche i cheche che Iphoolish Chli yake ni mnyonge Ndo maana anataka nimnyonge Ni mnyonge ye hujificha anyonge Ni usonge ugali ulete proteins Ni ugonge ka CD zisonge Ni utoke atuite form utokee Ni ugonge boyz before utekwe Ni ucheke na me ama uchekwe Hujanyoa lakini leo nakufyeka Chorus In the morning nakaa ka ako na kishada Nikuite hunny unakaa ka vile unakaa Ndani sikusize unakaa ye ni mweupe pe Unadai ananyuma Shikwekwe kwe Unadai ni kasupa kakembwe mbwee We ni diva malkia nikembe Ni sese ni keke nikule nitoke Nichoche i cheche che
Writer(s): Mike Makori, Moses Otieno, Joseph Getugi Nyamweya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out