Video musical
Video musical
Créditos
ARTISTAS INTÉRPRETES
Daddy Owen
Intérprete
COMPOSICIÓN Y LETRA
Daddy Owen PapaFololo
Autoría
Letra
[Intro]
Kazi ya msalaba, aah
Nimeipokea
Nimekubali
[Verse 1]
Baraka nimepokea, kwako nimetulia mimi
Nisije tumbukia kwa mambo ya dunia, kwako nijifiche milele
Fitina zanizingira, anasa kila kona yeye
Kwa mikono yako, niweke mtakatifu, tokea leo hadi milele
[Refrain]
Niwie radhi mimi, kwa makosa yote iye, iyeye
Anipenda, anijali, anipenda
Niwie radhi mimi, kwa makosa yote iye, iyeye
Anipenda, anijali, anipenda
[Chorus]
Kazi ya msalaba, nimeipokea
Nimekubali, nitakusifu, nitakuimbia milele
Kazi ya msalaba, nimeipokea
Nimekubali, nitakusifu, nitakuimbia milele
[Verse 2]
Ilikuwa ni juzi tu, mwanzo kwangu katembea
Ukapumzisha kwangu kugonjea
Lakini kwako zaidi nasogea
Nishiriki nawe kwa mazoea
Zile kwako ndo napokea
Nikuone, kwangu Baba ukinitendea
[Verse 3]
Wewe ndo wangu tu, mimi na wewe tu
Uuh nikwone kwangu ukinitendea
Wewe ndo wangu tu, mimi na wewe tu
Uuh nikwone kwangu ukinitendea
[Chorus]
Kazi ya msalaba, nimeipokea
Nimekubali, nitakusifu, nitakuimbia milele
Kazi ya msalaba, nimeipokea
Nimekubali, nitakusifu, nitakuimbia milele
[Bridge]
Milele lalalalalala
Nimekubali, nitakusifu, nitakuimbia milele
Milele lalalalalala
Nimekubali, nitakusifu, nitakuimbia milele
[Refrain]
Siri ni Yesu, siri ni Baba
Siri ni ye, siri ni ye, siri ni Yesu

Milele, milele, milele
Nimekubali, nitakusifu, nitakuimbia milele
Nimekubali, nimekubali
Nimekubali, nitakusifu, nitakuimbia milele
Written by: Daddy Owen PapaFololo