Letra

That's Stamina, baby Mazoea yana tabu lakini yana mwisho wake Mateso niliyompa ume futa matchozi yake Mazoea yana tabu lakini yana mwisho wake Mateso niliyompa ume futa matchozi yake (ka-pow!) Kweli ya leo sio ya jana, ona A to Z maumivu Kweli ya leo sio ya jana, ona Ona, A to Z maumivu Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay) Nacho-choma, mazoea (what?) Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (nimechoka) Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay) Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (yeah) Na cho-cho-choma, Mazoea Sura yako inanipa picha kamili Bila ya vitendo tayari nimeshaitabiri (mazoea) Umekuwa mjasiri tena bonge la msiri Hata kwenye tabu hutaki tu-solve wawili Na, haifanani na kiburi bali umechokwa nami Mi sijiulizi kwanini umalaya nimeufanya dini Hata mashoga zako nawawinda niwavue bikini Mi mkauzu kama mbuzi tena mchinjia baharini Makosa yanajirudi nayote unayabaini Ushahidi mpaka sibishi jinsi ulivyo makini Machale mpaka na-doubt au unaongozwa na jini? Maana umemkamata mwizi kabla ya siku arobaini Mmoja poa tu kwako si mali kitu Kama ngoma ni local mithili ya mchiliku Mpaka nahisi mafala washanipiku Mkuki kwa binadamu zaidi ya uchungu wa jipu Umekuwa mvivu wa kutimba mahome Hata kwenye sex unanigomea Drama kama filamu mpaka kwenye couple Kutesa kwa zam-zam, man Kweli ya leo sio ya jana, ona A to Z maumivu Kweli ya leo sio ya jana, ona Ona, A to Z maumivu Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay) Nacho-choma, mazoea (what?) Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (nimechoka) Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay) Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (what?) Na cho-cho-choma, mazoea Unasema nawapanga vigoli kama mswati Umalaya upo ndani ya damu kamwe siachi Please, hebu nipe nafasi ku discuss Mapenzi hayahitaji kulipiziana visasi Wepesi kunijibu hautaki Route zimezidi kama dereva taxi Day after day unazidisha masharti Hata kiss la shavu hutaki mbele ya umati Natapatapa bila hata kukabwa koo Kisa si zaidi ya uchokozi sipunde utanitoa roho Seke-seke unazonipa ni zaidi ya ngoma draw Maumivu yanafanana na hukumu ya death-row Malumbano,vita ka CUF na CCM, duh Umenichoka mpaka nahisi nipo kuzimu Sometime ni shetani so inabudi tumrehemu Let's forget about past please usinitoe damu baby You got true love mpaka najiona kavu Nipo tayari kutubu na msaafu Ruksa nikirudia unibanike kama ndafu Yeah, that's what's up Kweli ya leo sio ya jana, ona A to Z maumivu Kweli ya leo sio ya jana, ona Ona, A to Z maumivu Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay) Nacho-choma, mazoea (what?) Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (nimechoka) Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (okay) Inaniuma nachoma, nacho-cho-choma (what?) Na cho-cho-choma, mazoea Mazoea, mazoea
Writer(s): Shetta Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out