Letra

Eeh! Ayayaya! Eheh Kuna kitu kimoja Kwa jina sitokitaja Ah! Kipo kidude hiko Kwa jina sitokitaja Kuna kitu kimoja Kwa jina sitokitaja Ah! Kipo kidude hiko Kwa jina sitokitaja Ukiona cha simama Jua kinataka kinyama Ukiona kimelala lala hakikuachi salama Eh! Ukiona cha simama Jua kinataka kinyama Ukiona kimelalala hakikuachi salama Eeh Mama kitu kitu Mie kitu kitu mama kitu kitu Kitu kitu Mama kitu kitu ieee kitu kitu Mama kitu kitu kituu We we weee! Wewe We we weee haah tokauko Aii We we weee! Wewe We we weee tokauko We we weee! Wewe We we weee haah tokauko Aii We we weee! Wewe We we weee tokauko
Writer(s): Bontle Smith, Tyler Icu, Zuhura Othman Soud Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out