Créditos
ARTISTAS INTÉRPRETES
Eque
Intérprete
COMPOSICIÓN Y LETRA
Marylyn Wairimu
Letrista
Letra
Chorus
Hii ni moto ita wazima moto
Hii ni moto ita wazima moto
Call them call them
Juu round hii nikam na kianthem
Verse 2
Leo galdem amekam kuwapasha
Juu ya mekko walai mtawashwa
Ntakutoa njeve juu vyenye ninawaka
Alafu kidukulu ndo kitu tutawasha
Washa sensi nadai kuwa rada
Wacha mdomo we hukuwa na panganga
Wacha kunishika siezi kupa paka
Vile mi ni moto nishike na kamata
Hapa kuna moto nafeel joto
Twende nje tupigwe na upepo
Cheki lighting inadai we tiktok
Tunafanya choreo tukifeel wimbo
Siezi zimwa na siezi pimwa
Niko league buda mi bingwa
Mi si jembe lakini utalimwa
Na vile zimeshika hapa utapigwa
Verse 2
Songa kando huwa sipendi vako
Nimepanda bei mimi si wako
Nina mabeshte huwezi kuhandle
Juu ni mapeng ting kutoka ng'ambo
Hapa kunanuka kama kitu inachomwa
Bong weka kando tufunge tukichoma
Ongeza pombe leo naona tukibebwa
Na niko machrome naona kunisombwa
Boy amesota utadhani amegogwa
Lips ziko chirpy utadhani hajabonya
Ikus inadai na hajatosha mboga
Mi ni mali safi hii kitu huwezi onja
Bro... Ushaiona maua imea kwa choo
Mi ni baby girl na sadai hiyo show
Peng ting pengting na party hunipati
Ni pull up mi keki na slice hunipati
Written by: Marylyn Wairimu