Créditos

ARTISTAS INTÉRPRETES
Bonge La Nyau
Bonge La Nyau
Intérprete
Khadija Kopa
Khadija Kopa
Intérprete
COMPOSICIÓN Y LETRA
Lameck Gunda
Lameck Gunda
Autoría

Letra

Mmm
Hey, hey, hey, hey...
Terrano Music
Mmm
Oh...
Ah, ah, ah... (Oh, oh)
Ah, ah, ah... (Oh, oh)
Ah, ah, ah... (Oh, oh)
Ah, ah, ah...
Naomba unipende
Utamu wa moyo, 'usiende kwa mwengine
Nami nikupende
Niwe mchoyo, 'nisimpe mwingine
Naomba unipende
Utamu wa moyo, 'usiende kwa mwengine
Nami nikupende
Niwe mchoyo, 'nisimpe mwingine
Baby nipe matamu, 'penzi
Baby nipe matamu, 'penzi
Nipe matamu, unipoze moyo
Baby nipe matamu (Habibi)
Baby nipe matamu (Oh)
Honey, nipe matamu
Siku hii ya leo
Uh
Yes!
Mwili wako ni mradi 'mi mwekezaji
Mungu kanipa zawadi 'we zamaradi
Uzuri ndio lako taji, na mahitaji, uh
Mi na kipaji cha umaridadi
Achana na wababaishaji 'wanajinadi
Tufate dini na itikadi
Ili mradi nikizi mahitaji
Tuzidi kumuomba Mungu 'ye ndio mpaji
Kuzaliwa mwanaume ni mateso
Mapenzi bila pesa ni vichekesho
Acheni nilime leo ili tuvune kesho
Tupate uelekeo 'na tupunguze mazito
Mapenzi 'ni mfano wa bahari
Tuitunze yetu siri
Wapita njia, wasiikariri
Siwezi 'kuamua kwenda mbali
Wakati unanipenda na kunijali
Tuombe Mungu na tuswali
Naomba unipende
Utamu wa moyo, 'usiende kwa mwengine
Nami nikupende
Niwe mchoyo, 'nisimpe mwingine
Naomba unipende
Utamu wa moyo, 'usiende kwa mwengine
Nami nikupende
Niwe mchoyo, 'nisimpe mwingine
Baby nipe matamu, 'penzi
Baby nipe matamu, 'penzi
Nipe matamu, unipoze moyo
Baby nipe matamu (Habibi)
Baby nipe matamu (Oh)
Honey, nipe matamu
Siku hii ya leo
Yes!
Uh, uh
Nitakupa mapenzi 'yenye wingi wa raha
Umetulia na mnyamwezi 'ki staa
Mfuko una cash, no jau
Watapata tabu sana, 'we ndio Queen wa Dar
Everything I do 'I came from a woman
Popote tuko pea 'yaani burudani
Hata ukiongea niko cool, man
Bidada katulia yuko nyumbani
Mtoto king'ari, ng'ari (Ng'ari)
Mi kwako nimepaki gari (Gari)
Disemba to Januari (Ari)
Usiku kwa jua kali
Naomba unipende
Utamu wa moyo, 'usiende kwa mwengine
Nami nikupende
Niwe mchoyo, 'nisimpe mwingine
Naomba unipende
Utamu wa moyo, 'usiende kwa mwengine
Nami nikupende
Niwe mchoyo, 'nisimpe mwingine
Baby nipe matamu, 'penzi
Baby nipe matamu, 'penzi
Nipe matamu, unipoze moyo
Baby nipe matamu (Habibi)
Baby nipe matamu (Oh)
Honey, nipe matamu
Siku hii ya leo
Uh, uh, uh, uh, uh, uh
Niko na Bonge La Nyau
Lina parura (Lina parura)
...
Na mama Khadija Omar Kopa, twende!
Mudy kipara, Mr. Upara, eh
Queen Linna toto
Terrano Music
Amiga Tyga
Written by: Lameck Gunda
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...