Letra

Sweet like a kuku, tamu sana Sweet like a supu, am going to die Kwenye dimbwi sijiwezi nimezama Mi corazon my baby banana Penzi hulifichi kama ni sindano itachomaa Mi siambiliki hata wakaniroge Kigomaa Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paaa Mpenzi wangu nishike nisije nikapaa Kama mvua na mawingu kama mwezi na anga Sina jambo kwa jinsi umenikamata Tena usinipege kiduchu (Sugar Sugar Sugar) My life is nothing without you (Sugar Sugar Sugar) Tena usinipege kiduchu (Sugar Sugar Sugar) My life is nothing without you (Sugar Sugar Sugar) Nachagua mmwenyewe nitakula ndo nile ama nile ndo ntakula Najisevia manyama manyama Utamu Utamu Ah naona raha mie unavyonipeleka puta Mako tinda mako stamina yaani show show Mmmh naona raha mie unavyoIshusha kwenye tuta mama Mako tinda mako stamina yaani soo soo Ah umeniweza niuwe kanizike Aaah kanizike umeniweza Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paaa aaaah Baby wangu nishike nisije nikapaaa Tena usinipege kiduchu (Sugar Sugar Sugar) Ah my life is nothing without you (Sugar sugar sugar) Tena usinipege kiduchu (Sugar Sugar Sugar) Ah my life is nothing without you (Sugar sugar sugar)
Writer(s): Kerwin Amos Swai Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out