Letra

Wewe ni Mungu Hakuna mwingine wa kuabudiwa Unastahili sifa zote Wewe ni Bwana aah Tunaleta sifa zetu kwako Maana wewe ndiwe Mungu mkuu Tunaleta sifa zetu kwako Bwana Tunaleta sifa zetu kwako Maana wewe ndiwe Mungu mkuu Tunaleta sifa zetu kwako Bwana Usifiwe Yahweh Usifiwe Yahweh Kazi yako ya msalaba Yanifanya kuwa salama Usifwe Yahweh Upendo wako wa milele Umenifanya niendelee Usifiwe Yahweh Usifiwe Yahweh Usifiwe Yahweh Usifiwe Yahweh Halleluyah Yahweh Halleluyah Yahweh
Writer(s): Essence Of Worship Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out