Créditos

ARTISTAS INTÉRPRETES
Armee Seben
Armee Seben
Intérprete
COMPOSICIÓN Y LETRA
Meshack Temu
Meshack Temu
Autoría

Letra

Yesu ni wangu wa uzima wa milele
Yeye ni wangu mm ni wake
Hakuna kitu chochote chakunitenga nae
Yeye ni wangu mimi ni wake
Nimesikia habari zake
Nmeamini nmekuwa wake
Nmesikia habari zake
Nmeamin nmekuwa wake
Haaa yesu ni wangu
Heee mimi ni wake
Yesu ni wangu wa uzima wa milele
Yeye ni wangu mm ni wake
Hakuna kitu chochote chakunitenga nae
Yeye ni wangu mimi ni wake
Nimesikia habari zake
Nmeamini nmekuwa wake
Nmesikia habari zake
Nmeamin nmekuwa wake
Haaa yesu ni wangu
Heee mimi ni wake
Mim nafurahia kuwa na Yesu moyoni
Tena najivunia kwakuwa Yupo upande wangu
Kama nitamuacha Yesu niende kwa nani
Kama nitatoka kwake nitamfuata nani
Kama nitamuacha Yesu niende kwa nani
Kama nitatoka kwake nitamfuata nani
Nimesikia habari zake
Nmeamini nmekuwa wake
Nmesikia habari zake
Nmeamin nmekuwa wake
Haaa yesu ni wangu
Heee mimi ni wake
Napenda habari zake
Jinsi nilivyo kanipenda Mimi
Napenda habari zake
Jinsi nilivyo kanipenda Mimi
Ameikuza ahadi yake
Jinsi nilivyo ni mrithi wake
Ooo yoyoyoyoooo Yesu ni wangu
Yesu ni wangu wa uzima wa milele
Yeye ni wangu mm ni wake
Hakuna kitu chochote chakunitenga nae
Yeye ni wangu mimi ni wake
Nimesikia habari zake
Nmeamini nmekuwa wake
Nmesikia habari zake
Nmeamin nmekuwa wake
Haaa yesu ni wangu
Heee mimi ni wake
Written by: Meshack Temu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...