Letra

Mambo yote yatakuwa sawa-sawa Tukiweka kando yetu rangi za nyuso zetu Kila kitu, oh, kitakuwa sawa-sawa Tukiweka kando yetu siasa iliyo chafu Na mambo yote yatakuwa sawa-sawa Tukiweka kando yetu rangi za nyuso zetu Watu wote, woo, watakuwa sawa-sawa Tukiweka mbele yetu, upendo, upendo Na mambo yote yatakuwa sawa-sawa Tukiweka kando yetu rangi za nyuso zetu Kila kitu, oh, kitakuwa sawa-sawa Tukiweka kando yetu siasa iliyo chafu Na mambo yote yatakuwa sawa-sawa Tukiweka kando yetu rangi za nyuso zetu Watu wote, woo, watakuwa sawa-sawa Tukiweka mbele yetu, upendo, upendo Upendo una baraka Upendo una uzima Upendo una umoja Upendo una furaha Upendo una imani Upendo ni kila kitu Whoa, yeah Whoa, yeah Upendo una baraka Upendo una uzima Upendo una umoja Upendo una furaha Upendo una imani Upendo ni kila kitu Whoa, yeah Whoa, yeah Yeah Wacha watu wapendane Wacha watu waishi pamoja Hey, wacha watu wapendane, eh Everybody love one another We only have one life to live, yo There's no black and white As one blood, everybody that's, eh Cheza eh! Cheza eh Katika we'! Sukuma we' Cheza eh! Cheza eh Katika we'! Sukuma we' Cheza eh! Cheza we Katika we'! Sukuma we' Cheza eh! Cheza we Katika we'! Sukuma we' Cheza eh! Cheza we Katika we'! Sukuma we' Cheza eh! Cheza we Katika we'! Sukuma we' Cheza eh! Cheza we Katika we'! Sukuma we' Cheza eh! Cheza we Katika we'! Sukuma we' Katika, yeah Twe-, twe-, twe-, twe- Twe-, twe-, twe-, twe- Twe-, twe-, twe-, twe- Twe-, twe-, twe-, twe- Twe-, twe-, twe-, twe- Twe-, twe-, twende, eh Che-, eh Waache watu wapendane (Eh, eh, eh, eh) Upendo we, upendo we, upendo we, upendo we Upendo we, upendo we, upendo we, upendo we Upendo we, upendo we, upendo we, upendo we Upendo we, upendo we, upendo we, upendo we Upendo we, upendo we, upendo we, upendo we
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out