Letra

Eeeeh zombiee acha iyo! He one two one two eh maiki cheki (maiki cheki) Tunajump jump eh kama kitenesi Eeh! Kama kalambwanda nda nda kalambwasi Na kama huna msambwandaa usiingie kati (Ayeee) Alulue alulueee (Alulue alulueee) Aah Kama mtu hachezi mzabue (Tumzabue tumzabue) Sema Alulue alulueee (Alulue alulueee) Kama mtu hachezi tumtoee (Tumtoe tumtoe) Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba Mimi ninaweza kulicheza sagarumba Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba Maftaaa taa mafta taa mafta taaa Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii Aaamina amina na mwajuma Wanaringa hawa kima Kumbe wanauzaa... Usiseme hivyoooo Kilode kilode kilodee Watoto wadogo wanataka nipotee Haa! Labda nifukiwe chini wala wasiwaongopee Hee! Shindo langu mimi mjikusanye wote Haya sema shkamoo dada (Shkamoo dada) Shkamoo kaka (Shkamoo kaka) Mniamkie shkamoo mama (Shkamoo mama) Shkamoo baba (Shkamoo baba) Alulue alulueee (Alulue alulueee) Ukiona hachezi mzabue (Tumzabue tumzabue) Sema alulue alulueee (Alulue alulueee) Haa! Kama mtu hachezi tumtoee (Tumtoe tumtoe) Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba Mimi ninaweza kulicheza sagarumba Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba Nasema mimi ninaweza kulicheza Sagarumba Aah twende maftaaa taa mafta taa mafta taaa (Yana ninii) Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa (Eti mpaka wapi) Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii (Mamaaa)
Writer(s): Zuchu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out