Canciones más populares de Christian Bella
Canciones similares
Créditos
ARTISTAS INTÉRPRETES
Christian Bella
Intérprete
COMPOSICIÓN Y LETRA
Christian Bella
Letrista
Letra
Mie, mamie (mamie)
We' ndo' mamie (mamie)
We' ndo' dadie (dadie)
Mie, mamie (mamie)
We' ndo' mamie (mamie)
We' ndo' dadie (dadie)
Mie mie mie, mie mie mie, mie ehh
Mie mie mie, mie mie mie, mie ehh
Mbona kama unanionea?
Haya mapenzi gani kila siku lazima nimbembeleze
Nini sasa mpenzi wangu? Na we' utanibembeleza
Na mimi nisikie unavyosikiaga nikikumbembeleza
Ona kaneno mapenzi, kaneno kafupi
Kana mambo mengi unayempenda atakuzingua
Si' bora angesema ata mapema
Aliniacha nimezama, kutoka sasa
(Nashindwa) shindwa (nashindwa)
Kutoka mimi
(Nashindwa) shindwa (nashindwa)
Ah-aah-ah
(Nashindwa) shindwa (nashindwa)
Sijui nifanye nini?
(Nashindwaa...) mama weeeh
Angejua kabisa ninavyompenda
Sijawahi kupenda ndo' yeye wa kwanza ananizuzua
Si' bora angesema ata mapema ameniacha nimezama
Kutoka sasa
(Nashindwa) shindwa (nashindwa)
Kutoka mimi
(Nashindwa) shindwa (nashindwa)
Ah-aah-ah
(Nashindwa) shindwa (nashindwa)
Sasa nifanye nini?
(Nashindwa...) mama weeeh
Tuli, la-la, la-la
Mie mie mie (mie), mie mie mie (mimi) mieeh
Mie mie mie (mimi), mie mie mie (mimi) mieeh
Mie mie mie (mie), mie mie mie (mimi) mieeh
Mie mie mie (mimi), mie mie mie (mimi) mieeh
Ghafla tu anafunga vilago, namuuliza hatakikusema
Tatizo ni nini? Sijui kunashida gani?
Haya mapenzi, lawama kila siku mimi
Tulia mama, mimi ni wako nakupenda sana
Usihagangaike, usibabaike
Na wale maadui nataka wabaki na aibu
We' ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu
Ebu punguza maringo na mapozi, nakupenda
Wewe ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu
Punguza maringo na mapozi, nakupenda
Mie, I say mamie (mamie)
We' ndo dadie (dadie)
We' ndo mamie (mamie)
We' ndo dadie
Mie, mamie (mamie)
We' dadie (dadie)
We' mamie (mamie)
Yeh
Mie, mamie (mamie)
Ye ye ye ye ye
Ale, we' ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu
Punguza maringo na mapozi, nakupenda
Wewe ni wangu, mi' ni wako, mpenzi wangu
Punguza maringo na mapozi nakupenda
Mie, mamie (mamie)
We' ndo mamie (mamie)
We' ndo dadie (dadie)
Mie, mamie (mamie)
We' ndo' mamie (mamie)
We' ndo' dadie (dadie)
Ale we' ni wangu, mamie (mamie)
Mimi ni wako mamie (mamie)
We' ni wangu, mamie (mamie)
Mimi ni wako mama oh
Writer(s): Christian Bope Bella
Lyrics powered by www.musixmatch.com