album cover
Basi
2
Alternative
Basi fue lanzado el 9 de agosto de 2023 por Kodei como parte del álbum Basi - Single
album cover
Fecha de lanzamiento9 de agosto de 2023
Sello discográficoKodei
Melodía
Nivel de sonidos acústicos
Valence
Capacidad para bailar
Energía
BPM87

Letra

It\'s kodei tenaaaa...
Najaribu kunena, kinywa kizito nashidwa naumia ,
najiuliza nikupe kipi moyo nilikupa ukauchanjachanja,
 tena bila huruma na Hela yangu ukahonga ai,
 najiuliza kipi ulipenda au mwili wangu kuichezea ee,
dhamani yangu iko wapi, unadati mpaka mashoga zangu
ah! mawazo yamenizonga nasema Bora katu singekujuawa,
Yamenikuta majuto ni mjukuu
 Bora tu ningesikiza ya wakuu uu
nitafatilia moyo hisia unikome utanipoteza aa
Mmmh Bora nibaki mwenyewe eeh
mie nibaki mwenyewe
Mimi nawewe Tena basi iii
Bora nibaki mwenyewe
mi nibaki mwenyewe iii
mi nibaki mwenyewe eeh
Mi na wewe Tena basi iii
 Bora nibaki mwenyewe eee
Kisicho riziki hakili
 na Kama maji yashaa mwagika pwaaa
 pita kulia nikipita kushoto acha penzi ibaki historia ee
mwenzako nilitaka defender
ukadhihirisha wewe ni striker
moyo Una tabia yake siwezi sema sitopenda tena
 ila kurudia matapishi babaa mmmm
 yamenikuta majuto ni mjukuu
Bora ningesikiza ya wakuu uu
nitafatilia moyo hisia unikome utanipotezaaa,
Mmmh! Bora nibaki mwenyewe
mie nibaki mwenyewe eeh
Mimi nawewe Tena basi iii
Bora nibaki mwenyewe eeh
Mimi nibaki mwenyewe iii
mi nibaki mwenyewe eeh
Mimi nawewe Tena basi ii
Bora nibaki mwenyeweeee...!
Written by: Kodei Nasinya
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...