Video musical

Zorah - Mwambie (Official Music Video)
Mira el video musical de {trackName} de {artistName}

Incluido en

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Zorah
Zorah
Lead Vocals
DJ Kassu
DJ Kassu
Music Director
H-D
H-D
Performer
Rajabu Ally Rajabu
Rajabu Ally Rajabu
Performer
Kassumpa Adrian Machati
Kassumpa Adrian Machati
Performer
Hamad Said Mbaraka
Hamad Said Mbaraka
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zorah
Zorah
Lyrics
DJ Kassu
DJ Kassu
Arranger
H-D
H-D
Composer
Rajabu Ally Rajabu
Rajabu Ally Rajabu
Songwriter
Kassumpa Adrian Machati
Kassumpa Adrian Machati
Songwriter
Hamad Said Mbaraka
Hamad Said Mbaraka
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
DJ Kassu
DJ Kassu
Producer
H-D
H-D
Producer

Letra

Ukweli sio sawa anayonifanyia ye anaona sawa Bora angekuwa muwanga ama amepiga ndulele amenyunyizia dawa Kweli nakonda kwa haya amenitenda vibaya inachosha Kweli kupenda kubaya linanishinda neno inatosha Oh! Oh Mapenzi yananivuruga mwilini na homa Nitapata wapi wa kunitibu nipate afadhali kupona (mh) Mapenzi mabaya na ndani nilimfuma kwani nilimfanya nini Na mapenzi ndo haya aliyoniahidi yananitesa mimi Anayofanya leo niliona kwa movie yaani siamini Anayonifanyia sio sawa Sio sawa Mwambie Mwambie Mwambie (eeh) Mwambie Mwambie Mwambie (eeh) Mwambie Mwambie Mwambie (eeh) Mwambie Mwambie Mwambie (eeh) Nimeumbwa kwa udongo machozi yanitoka namomonyoka Nimeumbwa kwa udongo kwa udongo mie (eeh) Mie najikazakaza na maumivu kwangu ndani moyoni Mie samaki baharini machozi kwangu hata hayaoni Basi angeniweka wazi (wazi) nipo jela au mahabusu Na nimemisi vituko ndani aliponipiga mabusu Leo amenipiga telo (telo) shingo kawekea kisu Oh! Oh Mapenzi yananivuruga mwilini na homa Nitapata wapi wa kunitibu nipate afadhali kupona Mapenzi mabaya na ndani nilimfuma kwani nilimfanya nini Na mapenzi ndo haya aliyoniahidi yananitesa mimi Anayofanya leo niliona kwa movie yaani siamini Anayonifanyia sio sawa Sio sawa Mwambie Mwambie Mwambie (eeh) Mwambie Mwambie Mwambie (eeh) Mwambie Mwambie Mwambie (eeh) Mwambie Mwambie Mwambie (eeh) Oh! Oh Mapenzi yananivuruga mwilini na homa Nitapata wapi wa kunitibu nipate afadhali kupona (Mie eeh) Mie (eeh)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out