Letra

Jina jina la Yesu Jamani tulitumie Jina Tutashinda kwa jina Jina jina la Yesu ata sisi tunalo Jina Jina Tutashinda kwa jina Jina la Yesu Jina jina eeh Jina eeh Tunategemea jina la Yesu Jina lake Jina jina eeh Jina Tunategemea jina la Yesu Hatuna mashaka wala hovu Uwanja wapitae vita vimeanza Mashujaa wawili wanakailiana Upande moja kasimama Daudi Upande mwengine kasimama Goliathi Daudi kijana mdogo lakini mwenye imani Anamwambia Goliathi umeeba mkuki na fimbo Lakini mimi ninakuja kwa jina la Bwana wa majeshi Aah! Jina jina la Yesu na si tutashinda tunalo Jina na sisi na tutashinda Jina jina la Yesu ata sisi tunalo jina jina Tutashinda kwa jina Jina la Yesu Jina jina eeh Aah! Tunategemea jina la Yesu Tutashinda Jina jina eeh Aah! Tunategemea jina la Yesu Hatuna mashaka wala hovu Jina jina la Yesu na si tutashinda tunalo Jina na sisi na tutashinda Jina jina la Yesu ata sisi tunalo jina jina Tutashinda kwa jina Jina la Yesu Aah! Tunategemea jina la Yesu Tutashinda Aah! Tunategemea jina la Yesu Hatuna mashaka wala hovu Tunajifunza kwa Daudi alishinda kwa jina Alimwambia Goliathi takushinda kwa Jina Vita ni ya kubeba upanga wala hakubeba mkuki Alitegemea jina ndo maana akashinda kwa jiwe moja tu Jina jina la Yesu ata sisi tunalo jina jina Tutashinda kwa jina Jina la Yesu Jina jina la Yesu Jamani tulitumie Jina Tutashinda kwa jina Jina la Yesu Jina jina eeh Jina La Mungu Tunategemea jina la Yesu Jina Jina jina eeh Tutashinda Tunategemea jina la Yesu Hatuna mashaka wala hovu Usiogope Tunalo Jina jina eeh Tunalo Juna Tunategemea jina la Yesu Tunalo Jina eeh Jina jina eeh Tuko Salama Tunategemea jina la Yesu Hatuna mashaka wala hovu Wanaona moto Wanaona moto Wanaona moto Wanaona moto Wa Yesu moto Jina jina eeh! Moto Moto Moto Tunategemea jina la Yesu Moto Jina Jina eeh! Moto Moto Moto Tunategemea jina la Yesu Hatuna mashaka wala Hovu Wanaona moto Wanaona moto Wanaona moto Wanaona moto wa Yesu Jina jina eeh! Moto Moto Moto Tunategemea jina la Yesu Moto Jina Jina eeh! Moto Moto Moto Tunategemea jina la Yesu Hatuna mashaka wala Hovu
Writer(s): Boniphace Patson Mwaitege Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out