album cover
Mtaa
album cover
Mtaa fue lanzado el 6 de diciembre de 2024 por BILLIONEA KID como parte del álbum Mtaa - Single
6 de diciembre de 2024
Sello discográficoBILLIONEA KID
BPM113
Melodía
Nivel de sonidos acústicos
Valence
Capacidad para bailar
Energía

Video musical

Video musical

Letra

[Verse 1]
Ukilala mabegani kwa miguu mpaka Kariakoo
Kona kona za jangwani kote pindi nasoma
Route Kimara nikimfuata Sarah
Kabla ya Tina anayeishi ubungo
[Verse 2]
Nikirudi zangu Temeke au Mbagala, nkatafute maseke
Mbio zangu za kawe, nitapita mwenge kwenda madale
Zama tegeta Mbezi kwa mikeka
Twende Tabata, kwa wala bata!
Route upanga kwa kujipanga
Tutimbe sinza kwa wajanja
[Verse 3]
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star
Umenilea mtaa
[Refrain]
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star
Umenilea mtaa
[Verse 4]
Mishe mishe magomeni (Yes)
Kwenda kufosi kinondoni (Eh)
Nakata kata mikocheni
Bonden' naibukia kwa macheni (Eh)
[Verse 5]
Nakatiza barabara mwananyamala
Narudi mtogole kwa kina kipara
Pande za buza nishabaluza
Kiwalani kumenikuza
Vingunguti, kigamboni
Gongo la mboto mpaka mtoni
[PreChorus]
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star
Umenilea mtaa
[Chorus]
Mi umenikuza mtaa
Umenifunza mtaa
Kabla sijakuwa star
Umenilea mtaa
[Outro]
Chocho za kigogo, mabibu, keko (Umenikuza mtaa)
Tandale, Manzese, oysterbay, masaki, chanika (Umenilea mtaa)
Buguruni, msasani, kurasini (Umenikuza mtaa)
Written by: RICH MAVOKO
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...