Créditos

ARTISTAS INTÉRPRETES
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Canto
COMPOSICIÓN Y LETRA
Nasibu Abdul Juma Issaack
Nasibu Abdul Juma Issaack
Autoría
PRODUCCIÓN E INGENIERÍA
Mr. LG
Mr. LG
Producción

Letra

[Verse 1]
Pole, pole, pole, pole
Pole, pole moyo wangu
Masikini pole
Pole mtima wangu
[Verse 2]
Haikuwa dhamira
Haikuwa kusudi langu
Haikuwa dhumuni wala
Haikuwa malengo yangu
[Verse 3]
Ila tuseme labda moyo
Pengine sio rizikii
Maana nimejitahidi sana
Malengo hayafikii
Kama kuswali naswali sana
Mpaka suna za usikuu
[Verse 4]
Kazi nimetafta sana
Ila siambulii kitu
Staki kukufuru Mungu sababu najua ni mapito
Japo, inakatisha tamaa ila siku yangu ipoo
[Chorus]
(Moyoo) Usiumie (Moyo) ni mapito
(Ooh moyo) haya yote mitihani na ina mwisho
(Moyo wangu moyo) Usiumie (Moyo) ni mapito
(Ooh moyo) Haya yote mitihani na ina mwisho
[Verse 5]
Penzi maua
Pesa mbolea
Ata shemeji yako hana mengi ila
Haweziongea
[Verse 6]
Moyoo
Najitahidi nijiepushe vya watu ni majaribu aah
Japo nna shida ila
Naepuka tamaa
[Verse 7]
Moyo, nilitamani siku moja na mimi nimjengee mama
Ila ndo vile tu umasikini, mipango inakwama
Wanaumia watoto shuleni wakifukuzwa hata
Najiona mjinga yani sio bora baba
Staki kukufuru Mungu, najua ni mapito
Maana riziki mafungo nami langu si kuliko
[Chorus]
(Moyoo) Usiumie (Moyo) ni mapito
(Ooh moyo) haya yote mitihani na ina mwisho
(Moyo) Usiumie (Jikaze moyo) ni mapito
(Ooh moyo mama) Haya yote mitihani na ina mwisho
Written by: Nasibu Abdul Juma Issaack
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...