Créditos
Artistas intérpretes
Sanaipei Tande
Voces
COMPOSICIÓN Y LETRA
Sanaipei Tande
Autoría
Letra
Inawauma sana,
Mbona huko kama wao!
Na inawaumiza sana,
Mbona huko in the crowd!
Nini ulicho nacho?
Kinakutenganisha nao.
Nini ulicho nacho?
Makes you so proud!
You do what you do, how you do, what you do (kama wewe)
You say what you say, how you say, when you say (kama wewe)
You be what you be, how you be, when you be (kama wewe)
Usiwai pretend, usichange, not for anybody else!
Just the way you are!
Just the way you are! (kama ulivyo)
Just the way you are!
Just the way you are! (vile ulivyo) x2
Ratatatatataa taa! ndivyo wanakusema,
Ratatatatataataa! ndio wanakusengenya,
Usiwamind, usiwape time (wanajipotezea)
Usiwamind, usiwape time, jua tu uko fine !
Cuz youuu
You do what you do, how you do, what you do (kama wewe)
You say what you say, how you say, when you say (kama wewe)
You be what you be, how you be, when you be (kama wewe)
Usiwai pretend, usichange, not for anybody else!
Just the way you are!
Just the way you are! (kama ulivyo)
Just the way you are!
Just the way you are! (vile ulivyo) x2
Maringo yako! Wape! Wape Wape
Wa-komeshe nazo! Wape! Wape Wape
MAMA!
Maringo yako! Wape! Wape wape
Wa-jinyonge nazo! Wape! Wape Wape
Just the way you are!
Just the way you are! (kama ulivyo)
Just the way you are!
Just the way you are! (vile ulivyo) x2
Written by: Sanaipei Tande