Créditos

ARTISTAS INTÉRPRETES
Exray Taniua
Exray Taniua
Intérprete
Clamer
Clamer
Programación
Tony Kinyanjui
Tony Kinyanjui
Rap
COMPOSICIÓN Y LETRA
Tony Kinyanjui
Tony Kinyanjui
Autoría
PRODUCCIÓN E INGENIERÍA
Clamer
Clamer
Producción

Letra

Felicity introvert baby siti backi
Nani ako na dutha na ameiva like
Manyonyo ma diva na mamzinga like eeeh
Tuko hapo for the vibe aaah siezi kosa psyche
Felicity introvert baby siti backi
Nani ako na dutha na ameiva like
Manyonyo ma diva na mamzinga like eeeh
Tuko hapo for the vibe aaah siezi kosa psyche
Aaah skia
Venye niko high joh ni ka nitadai juu
Kwa hii bash joh mi nadai June
Mtoto hakuli vela but ameiva my boo
Aaaah ameiva my boo
Skia ati pull up pull up pull up
Put your letters in the air
Tuna ungusa ungusa ungusa
Tunachoma anywhere
Aaah ma bad boys wamejaa everywhere
Tebu chunga chunga chunga
Kina nani unangorea
Chali yako hanitishi
Mshow nikitaka nitakudishi
Come unishow venye kwanza yeye huku mistreat
Nikijua we ni bad girl nakudiscipline
Felicity introvert baby siti backi
Nani ako na dutha na ameiva like
Manyonyo ma diva na mamzinga like eeeh
Tuko hapo for the vibe aaah siezi kosa psyche
Felicity introvert baby siti backi
Nani ako na dutha na ameiva like
Manyonyo ma diva na mamzinga like eeeh
Tuko hapo for the vibe aaah siezi kosa psyche
Ati kuna makwela wanataka kunicheki
Venye zimeshika joh ala kudadadeki
Dem amebeba mzigo zote njefi njefi
Crazy, sana man unacheza na sensi
Tingiza kinanda ni ka uko na kichaa
Ati hadi ukinicheza sitachachisha
Ati shisha unaeza itisha ndio hizo masaa
Alafu mum napenda ukiringa ju we ni kifaa
Skiza Exray Ajay cheki huyo
Hiyo kinanda akitembea na mafujo mos mos
Pole pole we tupe funzo
Achana na hao mafala kuja nikupe euro
Felicity introvert baby siti backi
Nani ako na dutha na ameiva like
Manyonyo ma diva na mamzinga like eeeh
Tuko hapo for the vibe aaah siezi kosa psyche
Felicity introvert baby siti backi
Nani ako na dutha na ameiva like
Manyonyo ma diva na mamzinga like eeeh
Tuko hapo for the vibe aaah siezi kosa psyche
Denge akingara ongeza night rus
Miti ni Cyprus, nataka nice start it
Itisha lighter senke ni ninety
Vukisha kama biker
Staki ureti high Madam vitu ni tighter
Ati top layer kwa ting basi top player aki play up
Basi nitampea pading basi top player na bling
Basi top player aki pay up basi nitampea kodi basi
Top player ni rare basi top player anafeel
Written by: Tony Kinyanjui
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...