album cover
Zai
13
Music
Zai fue lanzado el 2 de mayo de 2025 por BEN POL ENTERTAINMENT como parte del álbum Beautiful
album cover
ÁlbumBeautiful
Fecha de lanzamiento2 de mayo de 2025
Sello discográficoBEN POL ENTERTAINMENT
Melodía
Nivel de sonidos acústicos
Valence
Capacidad para bailar
Energía
BPM79

Créditos

ARTISTAS INTÉRPRETES
Ben Pol
Ben Pol
Voces de fondo
COMPOSICIÓN Y LETRA
Benard Paul Mnyanganga
Benard Paul Mnyanganga
Autoría
PRODUCCIÓN E INGENIERÍA
Ben Pol
Ben Pol
Coproducción

Letra

My man
Tiddy Hotter
Ugali tembele nawe
Kuku na mchele mama
Mvua pii jua nawe ehh
We ndo unani jua sana
Ulichokimbilia kukifanya
Si chakiungwana
Mungu anakuoana eh ihh
Tumeishima Maisha mazuri sana
Mina we kimwana
Hadi kufanana oh ohh
Zai, oh Zai
Zai, unanionaje
Zai, oh Zai
Zai, imekuaje
Kumeachana jana
Leo una bwana tena mmeshibana
Kuachana jana leo una bwana
Eti mnapendana Ooh ooh
Fine au ulikua vile
How? mapenzi yameanza lini?
How? masaa ishirinina nne
How? bado nashindwa kuamini
Ulichokimbilia kukifanya
Si chakiungwana
Mungu anakuoana eh ihh
Tumeishima Maisha mazuri sana
Mi nawe kimwana
Hadi kufanana oh ohh
Zai, oh Zai
Zai, unanionaje
Zai, oh Zai
Zai, imekuaje
Zai Zai Zai we, kizai zai we
Zai Zai Zai we
Zai Zai Zai we, kizai zai we
Zai Zai Zai we
Written by: Benard Paul Mnyanganga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...