album cover
Trap
1,030
Hip-Hop/Rap
Trap fue lanzado el 17 de agosto de 2025 por 7023980 Records DK como parte del álbum Trap - Single
album cover
Fecha de lanzamiento17 de agosto de 2025
Sello discográfico7023980 Records DK
LanguageEnglish
Melodía
Nivel de sonidos acústicos
Valence
Capacidad para bailar
Energía
BPM67

Créditos

ARTISTAS INTÉRPRETES
OnlyMoh
OnlyMoh
Voces de fondo
COMPOSICIÓN Y LETRA
OnlyMoh
OnlyMoh
Autoría
PRODUCCIÓN E INGENIERÍA
vlmightysos
vlmightysos
Coproducción

Letra

Itabidi umebusrt ukitaka ki verse
Mali ni clean nitrase kwa trap
Nawasha kiloud ikichoke na pass
Kukimbiza doh utadhani ni flash
Sina time yaku banja juu niko kwa rush
Leta uhursh uone ukibrush
Bitch anadai nitokee
Me niko side za K naseti mashash
Morio mbwakni kulishwa dust
Kusaka packe kwangu ni must
Siezi delay natokea fast
Natembea na litre ya lean siezi shikwa na thirst
Nachafua pori iki dry
Nikishikwa na chai natoa za chai
Huezi ni digii natokea ki spy
Nadai benzo tu roll in style
Nakimbiza ma rapper kwa track
Bitch anadai nitokee nikule masnack
Me siezi lack
Toa hio kitu marapper uskii wana suck
Naskuma magoods stoi za tax
Zip hio shit kaa hubanji rack
Najikill madawa kwa max
Msupa anadai utachizi punguza drugs
Huezi nisho kitu ya ku do
Me narank machaji watrue
Daily kaa kawa na kaza kwa stu
Style zangu ni sick chunga usishikwe na flu
Kwa tarp na score makilo
Ukidai magoods come nikuonyeshe mashimo
Sjai change
Bado niko same kwa hood nachill nama dingo
Washa hio loud sidai kua sober
Na deal na boss sibanji na broker
Me niko mboka napiga madoba
Napigwa bure bila kuomba
Nika wamechizi design wanaroga
Kaa huna doh akuna kubonga
Hakuna ya bure itabidi umesonga bossman nadai kua donga
Itabidi umeburst ukitaka ki verse
Siezi kaa sober naseti ma gas
Zimeshika naskia niko mars
Nilikua nasuka machopy kwa class
Itabidi umebusrt ukitaka ki verse
Mali ni clean nitrase kwa trap
Nawasha kiloud ikichoke na pass
Kukimbiza doh utadhani ni flash
Sina time yaku banja juu niko kwa rush
Leta uhursh uone ukibrush
Bitch anadai nitokee
Me niko side za K naseti mashash
Morio mbwakni kulishwa dust
Kusaka packe kwangu ni must
Siezi delay natokea fast
Natembea na litre ya lean siezi shikwa na thirst
Nachafua pori iki dry
Nikishikwa na chai natoa za chai
Huezi ni digii natokea ki spy
Nadai benzo tu roll in style
Written by: Only Moh
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...