album cover
Raha
album cover
Raha fue lanzado el 25 de octubre de 2024 por Ziiki Media como parte del álbum Raha - Single
25 de octubre de 2024
Sello discográficoZiiki Media
BPM90
Melodía
Nivel de sonidos acústicos
Valence
Capacidad para bailar
Energía

Video musical

Video musical

Letra

Kila penye zuri hapakosi baya
Kwenye baraka hapakosi laana
Kwenye ukweli hapakosi uongo
Kuna mungu na shetani
Upande wa dunia una ka raha
Upande wa mungu una raha
Upande wao una maneno neno
Upande wa mungu una vitendo
Upande wa mungu
Hakuna kushindwa ni kushinda tu
Huko upande wa pili shetani anatesa wanarogwa tu
Wanavunjaga nazi njia panda
Wa mungu tunapita tuna tamba
Wanashinda kwa waganga
Si tunashinda kwenye ibada
Wanavyo chanjwa chale wanatabika wanatia huruma (hao)
Wa mungu mambo shwari hatuna shida hatutazami nyuma!
Jamani kwa mungu!
Kuna raha
Kuna raha
Huku
Huku kuna raha
Kuna raha
Kuna raha
Huku
Jamani kwake
Kuna raha
Kuna raha
Huku
Hakuna kasoro
Kuna raha
Kuna raha
Huku
Nashukuru huku niliko hakuna matambiko roho mbaya kwetu mwiko
Tunakesha tukiomba tunaomba na mungu anatenda
Huko kwao ni vilio masikitiko kuharibiana michongo
Aaa
Yani wanarogwa, wanaibiana, wanakosana
Kwa mungu tuna tendewa makuu
Na neno lake halipiti bure
Wao watupiana majungu
Wanachukuliana misukule
Wadunia wana danga wanaharibiana ndoa zao (hao)
Huku kwa mungu tuna tamba upendo wadumishwa kila leo
Wa dunia wana haha kutwa kusafishwa nyota zao
Kwa mungu tuna ng’arang’ara ni furaha kila leo!
Ndio maana nasema…
Kuna raha
Kuna raha
Huku
Hakuna kulalamika
Kuna raha
Kuna raha
Huku
Nasikia kuna raha
Kuna raha
Kuna raha
Huku
Yaani raha
Kuna raha
Kuna raha
Huku
Kuna rahaaaaaaa
Kuna raha, kuna raha huku
Yeyeye yeyeye iiii
Karibu huku kuna raha.
Written by: Janet Otieno
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...