Paroles

Baba Inuka, Tawala, Simba wa yudah, Tawala, mfalme wa sayuni, tawala Hausinzii wala haulali, ewe mlinzi wangu Umenizunguka pande zote, ewe Mungu Wangu Umenihifadhi, Katika uwepo wako Nakutazama Jehovah, Msaada wangu watoka kwako Tumaini langu, liko kwako, Kwa imani sitingiziki Umetawala maishani mwangu, oooh baba Outro (till fade) Simba wa yudah, tawala, mfalme wa zayuni, tawala
Writer(s): Evelyn Wanjiru Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out