Paroles

Oh Baby Sometimes nahisi kama Ni jana tumekutana Kwa miaka ishirini ndani ya ndoa Ila bado unanikoshaga Una mature kama wine Watoto watatu ila haujafulira Tena mapenzi hayajapungua Nakupenda zaidi ya jana Wala sijakuchoka Mapenzi yanazidi noga Najua huna masonga Na wazuri wamezaliwa Ila wewe ndo bora Am crushing over... youuuuu... eeeh Yoou Crushing on you... You are my favourite Mwana wanje Crushing over youuuuuuh.yeah Yoouuuuuuh Still crushing on you You are my favourite yeah Mwana wanje Oooh beiby Oooh yeah Oooh beiby Eeh eeh If am to choose Girl i still choose you Mara nikikuona roho inagonga dudu Kwako nalilia sinong'oni bubu Yeah yeah Wajua zaidi yako mimi sinaga Wananiuliza kipi nacho kupendeaga Si lazima waelewe, beiby Juu mimi nakupenda mwenyewe, beiby Wala sijakuchoka Mapenzi yanazidi noga Najua huna masonga Na wazuri wamezaliwa Ila wewe ndo bora Crushing over youu... eeeh Yoou Crushing on you You are my favourite Mwana wanje Crushing over... youuuuuuh... eeeh Yoouuuuuh Still crushing on you You are my favourite Mwana wanje Crushing over youu... eeeh Yoou Crushing on you You are my favourite Mwana wanje Crushing over... youuuuuuh... eeeh Yoouuuuuh Still crushing on you You are my favourite Mwana wanje Oh baby... Oh yeah Oh baby... Oh yeah Oh baby... Oh yeah Oh baby
Writer(s): Scott Thomas Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out