Paroles

Kapipo on the beat, hey eeeh Ooh nanana, ooh mamama Maulana mmmh (Kapipo) Kapu limeshajaa Mapitilizo maudhi yamezidi Moyo wangu uko mbali nawe Soko la karafuu umeuza dagaa Na ule utamu umeugawia kijiji Umenipa donda la roho Isipagawe Mungu amenipa ufahamu Natambua lipi chema na baya Usizuge kwa tabasamu Kumbe huna lako moyoni Na nishazoea mila Kikwetu kusema sema ni roho mbaya Ningalikuwa na uwezo Mwanzo ningekuficha mfukoni Ulinidanganya kumbi kumbi Nilale bila chandarua Kumbe mbu nang'ata Si ulinikung'uta mavumbi Nilipo omba nyingi dua Ukaniondolea mashaka Mapenzi hayalazimishwi Haukuridhiana na mimi nenda Ila nakuombea Ukaishi maisha mema Pia siwezi na silazimishi Labda sina dhamani, huenda Kuondoka kwako kwangu Mungu akaleta mema Nimekubali mimi, japo ni maumivu ila Nimekubali mimi, japo hutoki kwa akili yangu unaizunguka Nimekubali mimi, nimekubaliana na wewe eeh Nimekubali mimi, nimekubaliana na weee Japo ni ngumu ka imenikwama miiba Maana kwa ndani ndani bado inanichoma Na maumivu huwezi yasikia Nayasikia mwenyewe tu Na hali ya upweke sio kawaida Najua dhahiri kuwa na kinyima amani Stress ingekuwa kilevi Ndio kulala na viatu Jua mwana ukiyataka ndo mwana kuyapata Mungu hamnyimi mja wake Usinung'unike kwa utakacho kipata Maana ndo unachotafuta Umekuwa gari la taka, haunaga tabaka Umekosa hadhi ya mwanamke Tulia yakufuate magari bovu Ndo kutwa ukafuata fuata wee Mapenzi hayalazimishwi Haukuridhiana na mimi nenda Ila nakuombea Ukaishi maisha mema Pia siwezi na silazimishi Labda sina dhamani, huenda Kuondoka kwako kwangu Mungu akaleta mema Nimekubali mimi, japo ni maumivu ila Nimekubali mimi, japo hutoki kwa akili yangu unaizunguka Nimekubali mimi, nimekubaliana na wewe eeh Nimekubali mimi, nimekubaliana na weee Ibraah, Konde music worldwide (And the good music has been done by Kapipo)
Writer(s): Ibrahim Nampunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out