Paroles

Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Hii upendo leo, sikustahili Nilikua mfungwa, nimewekwa huru Amenipa uzima, wakati nilistahili kifo Amenifanya mwana, niliyekuwa mfungwa Wokovu nilio nao ni kwa neema tu Alijitoa Yesu, aniokoe Aliacha enzi, na utukufu mbinguni Kanino mwenye dhambi, kaniokoa Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Uhai nilio nao, ni kwa neema tu Elimu ulio nayo, ni kwa neema tu Heshima uliyo nayo, ni kwa neema ndugu yangu Cheo ulicho nacho, ni kwa neema tu Mali ulizo nazo, ujue ni kwa neema tu Huduma niliyo nayo, najua ni kwa neema tu Ningetakiwa cheti, ningetoa wapi mie? Ila neema yake Mungu wangu ukaniona, ni kwa neema Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Hallo, hallo Hallo, hallo Hallo, hallo Hallo, hallo Hallo, hallo Hallo, hallo Hallo, hallo Hallo, hallo Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu Ni kwa neema tu
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out