Crédits

INTERPRÉTATION
St. Joseph's Choir Kendu Bay Parish
St. Joseph's Choir Kendu Bay Parish
Interprète
COMPOSITION ET PAROLES
Jackline Awuor
Jackline Awuor
Paroles/Composition
Robinson Kiplangat
Robinson Kiplangat
Paroles/Composition

Paroles

[Verse 1]
Huyu ni nani anaye ita mitume
Huyu ni nani anaye tuma wajumbe
Anawapa uwezo wa kuhubiri
Anawatuma kuhubiri injili, huyu nanii
[Chorus]
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana wa Galilaya
[Verse 2]
Huyu ni nani anaye ponya wagonjwa
Huyu ni nani anaye ponya viwete
Anafanya vipofu waone tena
Anatoa mapepo kwa nguvu zake huyu nani
[Chorus]
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana wa Galilaya
[Verse 3]
Huyu ni nani anaye wafunza watu
Huyu ni nani anayetoa mafunzo
Anafunza akitumia mafumbo
Awafanya kuwa wafwasi wake huyu nani
[Chorus]
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana wa Galilaya
[Verse 4]
Huyu ni nani anayewalisha watu
Huyu ni nani anayewanywesha watu
Anawapa chakula toka binguni
Anawapa kinywaji chenye uzima, huyu nanii
[Chorus]
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana wa Galilaya
[Verse 5]
Huyu ni nani anayetenda maajabu
Huyu ni nani anayefanya vituko
Anafanya maji kuwa migumu
Anafanya bahari kutulia, huyu nani
[Chorus]
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana wa Galilaya
[Verse 6]
Huyu ni nani anayedungwa mikuki
Huyu ni nani anayechomwa na miba
Hana dhambi na wanamtema mate
Analia kwa uchungu jamani, huyu nani
[Chorus]
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana
Huyu ni Yesu mnazareti Bwana
Huyu ni Yesu mwenye uwezo Bwana wa Galilaya
Written by: Jackline Awuor, Robinson Kiplangat
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...