Titres les plus populaires de Mbuzi Gang
Titres similaires
Crédits
INTERPRÉTATION
Mbuzi Gang
Interprète
Drip eye
Interprète
Harry Craze
Interprète
COMPOSITION ET PAROLES
Joseph Nyamwea
Paroles/Composition
Mike Makori
Paroles/Composition
Moses Otieno
Paroles/Composition
Paroles
London london london
It's ur favorite boy kashkkeed on the track
Kas kazi ni kula makwela, tusker
Tusker nilipewa na chaser
Cheki anabonga ju si tunatesa
Vunjika shingo juu nyuma imeweza
Abdala, dala baby dala
Tuko sherehe mashida inshallah
Weka magenge na rhumba Za wababa
Tuzirushe mikono ju ngoma inabamba
Dongi ya nani godororo
Huezi place na kasimu motorolla
Dogo tin ye hupenda yangu chini lolo
Juu ya D chuo kugeuzwa sokosoko
Co coal jiko bora shimo wera iko
Kokoriko niite jogoo pewa mwiko
Umbleina siko
Mashiroo naitoa shiko na kachipo
Abdala akaingia tipo
Kas kazi ni kula makwela, tusker
Tusker nilipewa na chaser
Cheki anabonga ju si tunatesa
Vunjika shingo juu nyuma imeweza
Abdala, dala baby dala
Tuko sherehe mashida inshallah
Weka magenge na rhumba Za wababa
Tuzirushe mikono juu ngoma inabamba
Chu chu am an angry panda
Ficha wako honey nsimwongeze ladha
Ka nimechoma sio nyama choma
Nimechoma na dam yako ndo keroma
Kuna walevi hubanja ngoso
Huezi sema hawajawai ingia hata class
Hata na lockdown ngoma haiezi kosa barz
It's ur favorite boy kid sjai kosa cash
Abdala dala adhi dala
Siezi taya look ni akala
Hii ni boy band zi hii si choir
Ukiniwai mi siezi gwaya
Kas, kazi ni kula makwela, tusker
Tusker nilipewa na chaser
Cheki anabonga ju si tunatesa
Vunjika shingo juu nyuma imeweza
Abdala, dala baby dala
Tuko sherehe mashida inshallah
Weka magenge na rhumba Za wababa
Tuzirushe mikono Juu ngoma inabamba
Hapendi jokes lakini jana alichoke
Hajai trigger lakini jana alicock
Hapendi dawa lakini Jana alipop
Hapendi maji lakini jana alisoak
Pole, akili chafu uko perverted
Kaa ni slice nipee kisu nimkatee
Bread winner juu buda mi ni mkate
Uchunge kuni tukija joh ujikate
Tuko biashara ya shadda Kuku wue wue
Ni msafara kusaka mshahara
Juu nina needs ya kutesa na kung'ara
Kuharibu na look joh siezi nkaparara
Buda nina ngepa ju sidai kipara
Kwa usanii mi ni star mi nang'ara
Star shahada mbuzi tunafanana huala
Abdala cheki amesimama
Kas, kazi ni kula makwela, tusker
Tusker nilipewa na chaser
Cheki anabonga ju si tunatesa
Vunjika shingo juu nyuma imeweza
Abdala dala baby dala
Tuko sherehe mashida inshallah
Weka magenge na rhumba za wababa
Tuzirushe mikono juu ngoma inabamba
Mbuzi gang, mbuzi gang, mbuzi gang
Writer(s): Mike Makori, Moses Otieno, Joseph Getugi Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com