Crédits

INTERPRÉTATION
Nazizi
Nazizi
Interprète
Mo’Fire
Voix principales
Mashariki
Mashariki
Interprète
Nazizi Hirji
Nazizi Hirji
Chœurs
COMPOSITION ET PAROLES
Mo’Fire
Paroles/Composition
Nazizi Hirji
Nazizi Hirji
Paroles/Composition
PRODUCTION ET INGÉNIERIE
Sendo Butti
Sendo Butti
Production

Paroles

Hawatupendi hao
Wanazidi sana kuumiza roho
Hawatupendi hao
Wanazidi sana kuumiza roho
Wanasema sema, ni maneno na mwenzio
Unatapa tapa, kila siku ni midomo
Kusema sema, ni maneno na mwenzio
Unatapa tapa, kila siku ni midomo
Kwa nini hupendi niendelee?
Uwepasha
Ya hayo hapendi yatoke
Najua nataka nipote, rafiki
Ili nimrade nifanane na wewe
Usinifuate fuate, Niache
Nimvishe Pete, Niache
Usinifuate fuate, Niache
Pete
Hawatupendi hao
Wanazidi sana kuumiza roho
Hawatupendi hao
Wanazidi sana kuumiza roho
Wanasema sema, ni maneno na mwenzio
Unatapa tapa, kila siku ni midomo
Kusema sema, ni maneno na mwenzio
Unatapa tapa, kila siku ni midomo
Nikikupata mimi, we
Jah know me going to love you
Nikikupata mimi, we
Jah know me going to love you
Achana na mambo ya maneno maneno mtaa
Ata pete nitavaa, watabaki wakishangaa
Nakupenda kutoka kitambo
Achana achana na Mambo
Nakupenda kutoka kitambo
Achana achana na mambo
Hawatupendi hao
Wanazidi sana kuumiza roho
Hawatupendi hao
Wanazidi sana kuumiza roho
Wanasema sema, ni maneno na mwenzio
Unatapa tapa, kila siku ni midomo
Kusema sema, ni maneno na mwenzio
Unatapa tapa, kila siku ni midomo
I'm feeling love
Niache nipendwe na
Can you feel my love
Please don't say it now
Usisiri, don't feel it
Nifuate me (eeh)
Navyompenda, wewe hujui
Unaleta maneno
Unang'eneka wangu adui
Unatunga nyimbo
Bado tuko gado gado
Tuko fiti kipago
We jifanye hapo chongo
Utaishia kwenye logo
Elisha mtamu, umwache umwache
Sei recordi (eeh) umwache umwache
Nazizi , umwache umwache
Fire!
Written by: Mo’Fire, Nazizi Hirji
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...