Paroles

Somebody gotta die today (Ringle this one's classic men) Ah! Haters, Haters Nimekuja kuwapa msongo wa mawazo, mi' ni pay cut Nilikotoka bingwa, Ila jamii imeshiba sana ujinga That's the reason I'm not famous Haters, haters Nimekuja na uthibitisho your favorite rapper is lame ass An Orthrodox delivery, since way back Kama K-Dot, look my bar game is A-plus Ushasikia kua maemcee wanatisha sana (Waongo) Nilipofika walifikiria kuhama (Bongo) Logo ni chafu, mgongo na mbavu Mbombo ni ngafu napotingisha alichonipa mama (Ubongo) I eat people Nyoko kila ukinifata ume-beep kifo Wanamaabara walinikata nika-bleed vito Infinite sign sifiki mwisho ndio naanza Uh! Na huu ni mfano wa ma-group saba ya wezi Nyoko hata ukiwa Sugu hapa hauchezi Waulize makada natema ngumu sana haumezi Utaishia kuomba msaada kwa Mungu baba mwenyezi. Bless Ah Eyoo sicheki na wapuuzi Nipo OG emcee si-dress na mapuli Kesi ni ya Shakespeare, Tenzi mia, bongo mpaka UG Ma-emcee hawanipendi kama nduli Nasimama kama Eiffel Tower naangaza jiji Ambalo nipo tangu ma-star wa bongo hawajaanza kiki Kabla vimbelembele hawajaenda nyuma Nika-lay low bendera ya chuma mlingoti wa chuma Mi ni zigi ninayeficha stimu mtaani wananijua kama mshindi Sauti ya mamlaka napoamua hawapingi Kama anavyoamua mdingi kwenye vikao vya dharura Imesheheni Medulla, vingi navijua na siringi jamaa Kikatili ninapoisafiri mento Ni mfano wa jangili waliemkabidhi beto Wanabadili nyenzo, napojadili angles tofauti Kama nabii jinsi nnavyoitabiri kesho Ah, Sijui mwisho ila najua niende wapi Mtaa umeniita wito niitike niitende kazi Nakomaa sio simple, licha ya kusemwa na wasengenyaji Nageuka kifo, idea inayofanya mkakeshe church Ah! Asili kama masai na lubega Wastani wa sukari unaofanya chai inapendeza Sauti ya umma natangaza rai inaeleweka Naishi uswazi ila natema yai kama vegan Ma-code ya ki-programmer, Nani wa ku-compare Ball player nadondosha record pro kama NBA athlete, Level soo sana Controversial kama September eleven na Osama Ah, Sina makuzi ya kubuni vyama Sivumi kama trending za leo, emcee naishi future Ila nna maufundi tangu jana Napitwa na upuuzi maana maufundi yamejazana Bahati mbaya yamezibwa, wanadhani ni adimu Madini yamefanywa siri kama marking scheme Nami sipigi magoti sizitaki hizi team Nachotaka ni mishkaki na ndimu Nirumangie ma-emcee maana sijala tangu juzi nina njaa kali Ninalea wanafunzi na madaftari yao Wanageuka wakufunzi kwenye mahafali Kichwa kimetapakaa books kama library Style yangu ime-inspire the culture Ime inspire the Nengos, the Shaulins, the Nachas The Boshoos, the Killers, the Maarifa, the Rapchas Nimeacha DNA hata nikidanja sina deni tena Master... ah, Na-move ka' Cobra Simba wa Teranga alafu nina nguvu zaidi ya Drogba Natengeneza pesa kwa ufundi niliojenga bure Mtaani naishi kiswazi utadhani sijaenda shule My game plan is a mystery, kama aliyemteka Mo Na-change gear from hero to superhero From defense to stiker mode See, now you see me, now you don't, peek a boo My pen game's impeccable Forget the rest I'm a true rival Mnaimba matusi sana kwa maana bongo zenu ni too idle My next bar is a cheat code no, my last bar is the cheat code Every bar is too vital Tulia mwaya hapa wabaya wana-worship Ni vile wanaona haya ku-report kwamba wanataka-retire Siwezi kwenda sawa na wanaizaya wanaonigwayagwaya Huku wana-inspire gossip Sound amplified and so the message Look, street verified legend (And) No crown on my head Ask around I'd be claimed by the crown King of underground literally I'm down to the earth Shuhudia master kazini Amesimamisha kichwa kinamwaga madini Amekuja na mada ya kufunga chapter makini Halafu yuko huru dhidi ya siasa na dini Emcee nimeketi mahala ukweli umesimama Kwa kina kirefu meli zilizosheheni zinazama Nimejificha ka' kibabu cha imani Moyoni sina hila nimezika vitabu kichwani Panorama taifa langu Nimeketi soldier, Verse moja Nashusha flows za aina tatu Na-change styles ka' zinazompa faida changu Mi ni toleo la mwisho la viumbe wa aina yangu Ah, Kuanzia Mangloozi mpaka Mwanza Naonea nyangumi na mapapa. Naonea ndezi Narusha vitu kwenye anga vinapaa kwa mbawa Wakati mrushaji nipo chini kama Air-base Mfano wa mundu au beto Emcee mtundu kwenye mento Facts zina-shout beyond your reasonable doubt Naishi kwenye dimension ambayo miungu tu ina-settle. uh! Hii si ya kutoka chimbo hii Hii ni gene pool si ya kuita nyimbo hii Hii si ya kupiga disco hii This one is legendary, will go down in a history Media wanaogopa nyimbo zangu kama nudity Contents zinawarudisha drawing board kama new desease Just let the game change Prof you can retire now, 'cause the game is in my safe hands
Writer(s): Edger Mwaipeta Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out