Paroles

Asante Mungu wewe ni mwema Umenipa uzima na kunipenda Moyoni mwangu nina amani tena Oooh Nimeacha yote niliyoyatenda Nimeamua nikufuate kwa maana we ni salama Mbele yako najinyenyekeza ee Mungu wa huruma Nimeamua nikufuate kwa maana we ni Salama nakung'ang'ania nisikuache Mungu wangu Oooh Asante kwa kunipenda Asante kwa kunilinda Milele nitaimba sifa zako (Beat) Niende wapi niukimbie uso wako Niende wapi nijiepushe na roho yako
Writer(s): Walter Godfrey Chilambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out