Paroles

Zipu yangu tangu ilipoharibika Hata waliowamahiri wa mitindo kwani walishindwa irekebisha (Huyee) Penda unakopenda kwangu kwa yoyote linanitoka Macho yangu tu yakishakutamani siogopi kulitamka (Huyee yeah) Ningetamani kua nawe kwa usiku mmoja tu Nikiniruhusu kua nawe nitakuumiza moyo Ukiweza kushea mapenzi nipo tayari mi kua nawe Because no money no love when i'm getting money i'm gonna buy love Mwenzio mimi siwezi moja mpenzi yaani permanent love (Huyee) Mwenzio mimi siwezi moja mpenzi yaani permanent love (Huyee yeah) Perma Permanent love no no perma permanent love (Eey) Perma Permanent love, I don't wanna perma permanent love (No no no no) sihitaji Eey mahusiano ya kimapemzi unaambiwa Kwanza kabisa inaanza kutamaniwana Na siku hizi kupendwa si majaliwa Wakimwaga pesa unaliwa nikikosa pesa utaliwa Nikitia mzigo utanipenda ntapaliwa Sipendi kutaitiwa kuhisi ninaibiwa Mtoto kusingiziwa ndoto zinakaliwa Kalia zinaharibiwa Vaa kiatu changu utaelewa Uhuru ni kama kilevi ju nishalewa Elewa siwezi kuenda beach na mchanga Nikute mabeach boys na mabitch juu ya mchanga Ukiweza kushea mapenzi nipo tayari mi kua nawe Because no money no love when i'm getting money i'm gonna buy love Mwenzio mimi siwezi moja mpenzi yaani permanent love (Huye) Mwenzio mimi siwezi moja mpenzi yaani permanent love (Huyee yeah) Perma Permanent love no no permanent love perma permanent love I don't wanna perma permanent love permanent love Perma Permanent love sihitaji I don't wanna I don't wanna I don't wanna I don't wanna I don't wanna wanna i don't wanna love Permanent love yeah Me i don't wa I don't wa I don't wa I don't wanna I don't wanna wanna i don't wanna love Permanent love E yeah e yeah
Writer(s): Baraka Andrew, John Simon Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out