Clip vidéo

DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY - ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)
Regarder le vidéoclip de {trackName} par {artistName}

Crédits

INTERPRÉTATION
Rayvanny
Rayvanny
Chant
Lava Lava
Lava Lava
Chant
Mbosso
Mbosso
Chant
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Chant
Harmonize
Harmonize
Chant
Queen Darleen
Queen Darleen
Chant
Rich Mavoko
Rich Mavoko
Chant
COMPOSITION ET PAROLES
Rayvanny
Rayvanny
Paroles/Composition
Lava Lava
Lava Lava
Paroles/Composition
Mbosso
Mbosso
Paroles/Composition
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Paroles/Composition
Harmonize
Harmonize
Paroles/Composition
Queen Darleen
Queen Darleen
Paroles/Composition
Rich Mavoko
Rich Mavoko
Paroles/Composition
PRODUCTION ET INGÉNIERIE
Lizer Classic
Lizer Classic
Production

Paroles

Oooh! hizo ni zama za kale Oooh! Sangulo na pepe kale, Zilipendwa Eh! Kizamani, kutoa card na maua (zilipendwa) Wanataka money ukilipa unakwarua (zilipendwa) Ufundi kitandani, sio maguvu kujikamua (zilipendwa) Unafika ndani, hujatomasa unachanua (zilipendwa) Wanawake wa leo wanataka mikakati Ukiwa mzugaji haki ya mungu huwapati (zilipendwa) Mapenzi ya video yatakutoa kamasi Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass (zilipendwa) Eeh! kupiga chabo getto (zilipendwa) Mkono na dettol (zilipendwa) Sunche na kapeto (zilipendwa) Majay na Mobeto (zilipendwa) Oooh! Hizo ni zama za kale Oooh! Sangulo na Pepe kale Mmm bolingo ndombolo (zilipendwa) Twanga chipolopolo (zilipendwa) Na maji ya kandoro (zilipendwa) Simba wa Morogoro (zilipendwa) Tani sipati sukari guru kabisa (zilipendwa) Hivi yuko wapi Mb Dogg wa Latifa (zilipendwa) Babu Tale wapi papa misifa (zilipendwa) Siku hizi party hatuendagi Ibiza (zilipendwa) Mpira na Pele (zilipendwa) Tanu na Nyerere (zilipendwa) Asha Ngedere (zilipendwa) Arusi mabele (zilipendwa) Eti Uuze nyumba uweke heshima bar Eti Ulazimishe aliyekukataa Sabuni Kicherema (zilipendwa) Mabanda ya Cinema (zilipendwa) Lipumba na lema (zilipendwa) Diamond na Wema (zilipendwa) Ooh hizo ni zama za kale (zama za zamani) Ooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo) Mmm... na sogi dogg(zilipendwa) Chanel analogy (zilipendwa) Movie za saibogy (zilipendwa) Van Dame, Anod (zilipendwa) Una nibeep nikupigie umeiweka vocha (haloo) Ule wewe nilipe mie umeniona Lofa Tena na madada wenye majina acheni visa Unaitwa ukale diner mnakwenda Tisa Nywele za kichina (zilipendwa) Pochi za kuazima (zilipendwa) Zena na betina (zilipendwa) Bashite gwajima (zilipendwa) Ooh hizo ni zama za kale (zama za zamani) Ooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo) Mmm Amitabh Bachchan (zilipendwa) Tv kwa jirani(zilipendwa) Madee Rayvany (zilipendwa) Zari Ivan (zilipendwa) Yanini kunichunguza naish wapi (zilipendwa) Nala, chapati kwa maini au makange (zilipendwa) Kutwa kunikalia chini unakamati Oh ya Rabi masikini kuni dhihaki Ah sampamba pangala (zilipendwa) P Funk Kajala (zilipendwa) Onyango na Jangala (zilipendwa) Rufufu mkandala (zilipendwa) Vya nini vidomo domo tutupiane tunguli Kisa pesa za mkopo msimu wa Magufuli Ah, Bongoman yondo (zilipendwa) Sikinde Msondo (zilipendwa) Magari ya Udongo (zilipendwa) Babu wa Loliondo (zilipendwa) Ooh hizo ni zama za kale (zilivumaga sana) Ooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo) Ah Tv za kichogo (zilipendwa) Wakina Man Dojo (zilipendwa) ____na Iyobo (zilipendwa) Akina Hatupogo (zilipendwa) Eti msiba ukiona Bundi unataka kupagawa Tulale makundi makundi kuogopa popo bawa Zuwena nitampata wapi (zilipendwa) Zuwena wa zile nyakati eh (zilipendwa) Kujifanya mapanga sunna wamepinda Wengine wabeba vyuma na hakuna marinda Iddi Amini dada(zilipendwa) Miuno ya H Baba (zilipendwa) Domo Chai Jabba (zilipendwa) Michezo ya kibaba baba (zilipendwa) Wale wapiga deal sasa hali mbaya (zilipendwa) Hizi zama za Magufuli si za Jakaya (zilipendwa) Ugomvi wa Mr.Nice na Dudu Baya (zilipendwa) Vikatuni vya madenge baba ubaya (zilipendwa) Muhogo mchungu mr.bean, wapi bambo (zilipendwa) Wale wazamiaji wale wa melini wazee wang'ambo Hivi yuko wapi Banjamini wa Mambo Jambo Wa Vietnam waporini vita na Rambo Eh ndanda Mjela jela (zilipendwa) Kidali Kombolela (zilipendwa) Max na Zembwela (zilipendwa) Juma Nature na fela (zilipendwa) Ooh hizo ni zama za kale (zama za zamani) Ooh Sangulo na pepe kale (yoyoyo) Mmm kamanda Daz Nunda (zilipendwa) Kalumanzila Ndumba (zilipendwa) Simu za Dole gumba (zilipendwa) Johari na Kanumba (zilipendwa) Wasafii Zilipendwa, zilipendwa Zilipendwa, zilipendwa Ohlilelelileeee Zilipendwa
Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Solly Cohen Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out