Clip vidéo

Harmonize Feat. Abigail Chams - Leave Me Alone (Official Music Video)
Regarder le vidéoclip de {trackName} par {artistName}

Apparaît dans

Paroles

I don't need nobody Akinipenda mungu inatosha Yeah I don't need nobody I don't need nobody yeah yeah Akinipenda mungu inatosha I don't need nobody I don't need nobody Tulio ishi kwa ndugu ndio tunazijua hustle Kula na kulala manyanyaso Fungasha urudi kijijini best naso Mi akinipenda mungu inatosha Mwengine atakusave kwenye shida Utamdhani rafiki wa faida Kumbe moyoni ana kuchukulia barida Siku ukifanikiwa zinaanza shida Yes now am going to another level Sito tumia ndumba wala nguvu za devil Simuitaji mwijaku na baba levo Mi akinipenda mungu inatosha Yes mi napenda marafiki Wale wanao kuwepo wakati wa dhiki Sio wanao kuja deal zikitiki Sipendi unafiki akinipenda mungu Inatosha no no no Akinipenda mungu inatosha Yeah I don't need nobody I don't need nobody yeah yeah Akinipenda mungu inatosha I don't need nobody I don't need nobody Eti kisa unani follow unanipangia cha kuposti Me siku follow shobo zako zinaku cost We ni unfollow usiniletee mikosi Akinipenda mungu inatosha Ukiniona kutwa nipo ndani sina tatizo Na majirani ila sitaki wanijue kiundani Akipenda mungu inatosha Yeah I swear to my dead body Simuamini rafiki anae nilipia kodi Pengine anafurahi mi kumpigia hodi Akinipenda mungu inatosha Yes mi napenda marafiki Wale wanao kuwepo wakati wa dhiki Sio wanao kuja deal zikitiki Sipendi unafiki akinipenda mungu Inatosha no no no Akinipenda mungu inatosha Yeah I don't need nobody I don't need nobody yeah yeah Akinipenda mungu inatosha I don't need nobody I don't need nobody Akinipenda mungu inatosha I don't need nobody I don't need nobody Akinipenda mungu inatosha I don't need no I don't need no I don't need nobody Akinipenda yeh Akinipenda Mungu I don't need no no nobody
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out