Crédits

INTERPRÉTATION
Lafrik
Lafrik
Interprète
COMPOSITION ET PAROLES
Lafrik
Lafrik
Paroles/Composition
PRODUCTION ET INGÉNIERIE
Lafrik
Lafrik
Production
Erick Njenga
Erick Njenga
Production

Paroles

Kumpenda asiyekupenda ni kama
Kungoja meli uwanja wa ndege
Ufukara si ungojwa wa kilema
Na nguvu ya mwanaume sio pesa pekee
Kumpenda asiyekupenda ni kama
Kungoja meli uwanja wa ndege
Ufukara si ungojwa wa kilema
Na nguvu ya mwanaume sio pesa pekee
Jeh unanipenda kama vile ninakupenda
Sweetie eh eh amua leo
Jeh unanipenda kama vile ninakupenda
Sweetie eh eh amua leo
Mapenzi matamu mbona ukageuza shubiri mama
Mbona namna hio kila mara unafanya mi nalalama
Umetoroka ndoto yetu umeniacha niote peke yangu
Mapenzi matamu mbona ukageuza shubiri mama
Mbona namna hio mbona hio oh
Umetoroka ndoto yetu umeniacha
Umeniacha oooooh
Jeh unanipenda kama vile ninakupenda
Sweetie eh eh amua leo
Jeh unanipenda kama vile ninakupenda
Sweetie eh eh amua leo
Written by: Ali Suleiman Juma Gongah, Brandon Israel, Jefferson Kaptunwo Chesebe, Lafrik
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...