Paroles
Mafia
Kibenten
Maximizo
Kibenten
Utafute wewe nije kula mimi
Maumivu nayajua, nilishang'atwa na nyoka far away
Nikiona jani naugua, nahisi yatanirudia yale
Sina koti kwenye mvua, ikinyesha acha tu nilowe
Nahisi utakuja kunisumbua, 'cause mi sifanani na wewe
Kuuziwa mapenzi sitaki, acha tu nitafute mwenyewe
Nikipata nkikosa sawa, sitaki mi kulelewa na wewe
Umenipita vitu vingi sana, hata uhuni sifanani na wewe
Niliye nae ataumia sana, kama mali zako kula mwenyewe
Unajibalaguza balaguza ile kwa sana
Unaniwinda kila chocho kila kona
Vizawadi zawadi kwangu havina maana
Noo
Unajibalaguza balaguza ile kwa sana
Unaniwinda kila chocho kila kona
Vizawadi zawadi kwangu havina maana
Noo, noo
Kibenten, sijazoea kufungiwa ndani
Kibenten, utafute wewe nije kula mimi
Kibenten, sijazoea kufungiwa ndani
Kibenten, ninunuliwe mpaka nguo ya ndani
Ooh ooh eeh aaah
Kuna maradhi yaja kwa tamaa, yah ukiendekeza
Nimsalititi mpenzi ninaempenda, kisa tamaa ya fedha
Ni usia zamani mama alinidokeza
Ganda la ndizi baya nikilikanyaga, naweza nikateleza
Chunga wasiwasi ndo akili, mabaya yalipitia mbali
Najua kuna guest na jela, yasijenitokea puani
Malipo kutafuna pilipili, itakuwasha kinywani
Nakinga upepo kibatari, sitaki kuishi kizani
Unajibalaguza balaguza ile kwa sana
Unaniwinda kila chocho kila kona
Vizawadi zawadi kwangu havina maana
Noo
Unajibalaguza balaguza ile kwa sana
Unaniwinda kila chocho kila kona
Vizawadi zawadi kwangu havina maana
Noo, noo
Kibenten, sijazoea kufungiwa ndani
Kibenten, utafute wewe nije kula mimi
Kibenten, sijazoea kufungiwa ndani (siwezi kuwa)
Kibenten, ninunuliwe mpaka nguo ya ndani
Hii ih, siwezi
Kutulia niletewe na sugar mamy, nguvu ninazo
Huuuh siwezi
Oooh huuuh
Maximizo
Writer(s): Bakari Katuti
Lyrics powered by www.musixmatch.com