Crédits

INTERPRÉTATION
Zabron Singers
Zabron Singers
Interprète
COMPOSITION ET PAROLES
JAPHET ZABRON PHILIP
JAPHET ZABRON PHILIP
Paroles/Composition
Emmanuel Zabron Philipo
Emmanuel Zabron Philipo
Paroles/Composition

Paroles

Safari safari tuliyonayo ya vikwazo vingi tuna kiongozi wa vita na hatutaogopa
Njiani tumewaacha tufani ilipozidi hata wakaona hawawezi wakarudi nyuma
Najua sio rahisi twahitaji msaada kuifika ahadi ya uzima wetu
Tumeianza safari tukiwa na tamaini Imani katika yesu tutawale nae.
Kaza mwendo usichoke kwa kuwa atulinda katika milima na mabonde atutangulia
Uzima amana yako usisema yule mwisho yote we utajibu usirudi nyuma.
Najua sio rahisi twahitaji msaada kuifika ahadi ya uzima wetu
Tumeianza safari tukiwa na tamaini Imani katika yesu tutawale nae.
Written by: Emmanuel Zabron Philipo, JAPHET ZABRON PHILIP
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...