Paroles

Aya! Aiyayaya yaah Chiriri papipa para pirarira rii Aiyayaya yaah Mombasa bay (yah yah yah) Baila aah aah Lesotera Natasha bae (Tanga ya tajiri) Father boznia tala lux (AbyDady) Wasikitika usije vunja shingo hiyo mama Na huko kusononeka usije ita mapaka leo Wakaja kukuparura ukapoteza uzuri wako Na ukija ukiolewa usipendeze kwa mume wako Aiya iya iya iyaaah. Na ujichunge sana maana utajichakaza Na ule punje ujana maana utakuchakaza Subira subira yako my love Ipo mikononi mwake Molla baba Subira subira yako mamito Ije mikononi mwako mafungu saba Anaye toa ni Molla pekee yeye Kwa kila goti na dua anajibu yeye Usije itaka harusi kwa pupaa Usije itaka harusi ukarudi na talaka Usikimbilie mume ukaukondesha moyo Usikimbilie mume ukaukondesha moyo Usije itaka harusi kwa pupa Usije itaka harusi ukarudi na talaka Usikimbilie mume ukaukondesha moyo Usikimbilie mume ukaukondesha moyo Kuwa na subira, usiwe na pupa wee Molla amekuumba na sifa kedekede Ukimuomba yeye atakusikia Jiamini mama usiwe na mapepe Aleeh ma, mapepe, ma ma mapepe Tuliza mapepe, ma ma mapepe Yanini tungule, angali mume majaliwa Kwanini ujichoreshe na mali yako yaliwa Utapenda vibovu upewe maradhi kukimbilia mapenzi Uje upate tabu kwa hayo mavazi uyachukie mapenzi Anaye toa ni Molla pekee yeye Kwa kila goti na dua anajibu yeye Usije itaka harusi kwa pupa Usije itaka harusi ukarudi na talaka Usikimbilie mume ukaukondesha moyo Usikimbilie mume ukaukondesha moyo Usije itaka harusi kwa pupa Usije itaka harusi ukarudi na talaka Usikimbilie mume ukaukondesha moyo Usikimbilie mume ukaukondesha moyo AbyDady
Writer(s): Kassim Mganga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out