Paroles

I love myself Sina wa kunikwaza, nipo na wa kuniliwaza Sijawahi kujidanganya kujichanganya Najipenda kujiweka kwanza Najishika mkono kudondoka Ni njia ya kuondoa fear Hata nikikosea Najitafakari bila kuchelewa Sina wa kuniropokea Najipenda mwenyewe na kujitegemea Wivu haunisumbui chaguo langu Lisikufanye uwe na uadui Kiio kwangu hicho Kioo kinanipa vazi lipi Nitupie nauelewa moyo wangu That's why I love myself Kupendeza ndio kawaida yangu Wala shaka sina Usipopenda hilo si swala langu I love myself Kujipenda hio ndo hulka yangu Wala shaka sina Usipopenda hio si shida yangu I love myself Ni kitunguu tu nikatapo Kinaweza kunitoa chozi Si maneno ya watu Hayanifiki hata shingoni Sina wa kunisumbua hey Na enjoy my life Na niwaambie Nimejifunza kuona nilipoanzia Hata nikidondoka nasimama mwenyewe Kwani mi ndio somo Somo la kukufanya uelewe Mimi ndio somo that's why I love myself Kupendeza ndio kawaida yangu Wala shaka sina Usipopenda hilo si swala langu I love myself Kujipenda hio ndo hulka yangu Wala shaka sina Usipopenda hio si shida yangu I love myself Kupendeza ndio kawaida yangu Wala shaka sina Usipopenda hilo si swala langu I love myself Kujipenda hio ndo hulka yangu Wala shaka sina Usipopenda hio si shida yangu I love myself
Writer(s): Judith Wambura Mbibo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out