Paroles

Uuh-uuh Uh, uh Uh (DJ) Ni neema, ni neema, ni neema Imeniweka hapa Ni neema, ni neema, ni neema Imeniweka hapa Sikustahili, sikustahili Sikustahili, sikustahili Ni neema, ni neema, ni neema Imeniweka hapa Mm, mimi jinsi nilivyo Kila nilichonacho Ni neema, imenipa hayo Uhai uzima, wokovu kibali, vyote Ni neema, imenipa hivi Kuna mtu alikufa msalabani Kwa ajili yangu Amelipa madeni yote, niliyodaiwa Ni neema, ni neema, ni neema Yake Yesu Sikustahili, sikustahili Sikustahili, sikustahili Ni neema, ni neema, ni neema Yake Yesu Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili) Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili) Kweli ni neema (ni neema), ni neema (ni neema) Oh, ni neema (ni neema), ni neema (imeniweka hapa) Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili) Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili) Ooh (ni neema), oh, ni neema (ni neema) Oh, ni neema (ni neema), yake Yesu (imeniweka hapa) Sikustahili (sikustahili), la-la, la-la, la-la-la-la-le (sikustahili) Nina, nina, ni Yesu jamani (sikustahili), usiniangalie mimi (sikustahili) Ameniweka hapa (ni neema), oh, ni neema (ni neema) Oh, ni neema (ni neema), mtukuzeni Yesu (imeniweka hapa) Haleluya, ahsante Yesu (tunakushukuru Yesu) Ahsante Yesu Ahsante Yesu (ninakutukuza Mungu), ahsante Yesu (kwa neema yako) Ni kwa neema yako Ulisimama kwa ajili yangu, uilinitetea Baba (milele), ahsante Yesu Yako yesu Sikustahili, sikustahili Sikustahili, sikustahili Ni neema, ni neema, ni neema Yako Yesu Sikustahili, sikustahili Sikustahili, sikustahili Ni neema, ni neema, ni neema Yako Yesu
Writer(s): Joel Lwaga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out