Paroles

Nenga! Zombie zombie zombie zombie zombie Utatuuwa Mshike huyo hatoki mtu Nimeupaka mkongo hatoki mtu Mshike huyo hatoki mtu Alinitia usongo hatoki mtu Kashanipiga sana vizinga Leo kajichanganya kayatimba Kanipiga sana vizinga Leo kajichanganya kayatimba Oya alitaka kunichukulia poa Kumbe mi mwenyewe ni mtoto Wa town Mara Ooh nitakupa ukinioa Kashaniona boya kutwa Kunipiga sound Alitaka kunichukulia poa Kumbe mi mwenyewe ni mtoto Wa town Mara Ooh nitakupa ukinioa Kashaniona boya kutwa Kunipiga sound Eti honey leo sitoki niko Na mamy fyoko Mara honey dady yuko nyumbani Nyokooooo Pararapaparira paparira paparira papa Pererepeperire peperire peperire pepe Ameyatimba Aaaaaaaaah Ameyatimba Oooooooh Ameyatimba Aaaaaaaaah Ameyatimba Oooooooh Mtoto kavamia pombe kakutana na gang Mtoto kadhania Konde (Konde) Mtoto kadandia tonge yupo danger days Mi napambania kombe (Kombe) Mtoto fakamia yote Anavyochochea moto tukalipuke wote Mtoto kaniambia chonde Kakutana na beki nachapa miguu yote Alitaka kunichukulia poa Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town Mara oooh nakupenda ntakuoa Ushaniona boya kutwa kunipiga sound Pararapaparira paparira paparira papa Pererepeperire peperire peperire pepe Ameyatimba Aaaaaaaaah Ameyatimba Ooooh Ameyatimba Aaaaaaaaah Ameyatimba Oooooooh
Writer(s): Oscar John Lelo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out