Clip vidéo

Crédits

INTERPRÉTATION
Moni Centrozone
Moni Centrozone
Interprète
COMPOSITION ET PAROLES
Moni Centrozone
Moni Centrozone
Paroles/Composition

Paroles

Hahaha Malume Mesen Selekta Mesen i see you Roof ziko juu nigga They call me leader of the new school(tojoo) Majengo sokoni(what we tell'em what we say) Alcantara kali yao bin maestro Kabla hujaacha mbachao cheki formula ya ghetto It's going down all down toka ghetto Rap kama trincao sunche na kapeto Unaweza pata many style ukijihusisha na machizi Hata kama hauna vibe ukipiga picha sema ndizi Huku wananidai watoto wa mtaa wanasikiliza kila hits You know what happens when mabantu Walivyoniita kwenye remix No love no stress(no love no stress) Niko tofauti no fame(niko tofauti no fame) Yani kama Harry Potter nabeba moto kwenye kobe Ukija mchele halafu unamshukuru bwana na Goodluck Gozbert Usilete nguvu kontena akili kisoda Sitaki flowers coz hunyauka siku moja Sara wa mzungu toilet paper kutwa anatembea na mavi Hawezi elewa mswahili anavyoishika kuichambia na maji Halafu korosho zikitema tunapoa na kina chinga Na babes ni kibwea kama tunang'oa kwenye tinga Sina bifu na wototo wapuuzi Sina bifu na watoto wa juzi Sina bifu na wototo wanaojua downtown ipo juu Malume ndo best baada ya Professor Jay Jay moo na langa Skills za Msafiki flows Farid Kubanda Top ten iwe dead au alive natia nanga Marapas wanaotamba keep more motherfuker (Ahhh) namjua mwanangu alikuwa na pesa Akapata mwanamke na wakaachana kisa pesa Wakati ana pesa tulilia shida akatuteta Hatukupata hasira tulipata jealous ya kusaka pesa tukazipata Mapenzi ya mjini vijana wanavamia kutwa mikasa We ndugu usiskie siku hizi mikasa si ya sukasa Huku bongo utafanya kazi halafu na ringi utakata Msingi mwanao apate magaling ni ya bata Aaaah najua unanichukiaga nacha Haya uchumu unafukuza ladha Ukinikuta site kama Babylon utadata Mjini sionekani nimejichimbia tabata Kila kitu fake watu wanafoji mpaka rasta Halafu hatuna muda tushamsahau konki master Majengo to maboneing kwanza beacha kwa king shatta Utapata wana wengi kwa madilk unasecure Halafu hao hao demu wanachetua Siku pesa ikikata tuona mdomo anabenua Utaweza pata uchizi urudi mtaani unapekua Yeah we rush to the top with kali na mister chicks Wanangu wote conscious sio mateja sio mafisi Halafu babes za kutosha utaona Snickers to za queen Kaa ukijua kuna pesa watu mtaani wanaimagine(mtaani wanaimagine) Ili kutoboa huku mjini wanakushika mpaka najisi(kushika mpaka najisi) Yananichoma kama mkuki nikimkumbuka Godzilla Mziki umeleta chuki hadi mpango na Qchillah Ngoja nikaze labda nitapata mzungu kama young killer Maana mapenzi ya bongo movie yani drama mpaka thriller Aaah nchi ya mama sikuhizi watoto wanadeka Vitoto wanacheka hadi mapopo wanapeta Naskia kuna wasaniii wamepewa mkoko wakasepa Maana mziki haujawalipa wanataka mkoko kama skrepa Vya kwangu vitendo kama James Gayoking Kwanza kaa chini halafu hesabu hii single Naset trend naset bars huwezi kimo Kila shuti imo situmii nguvu kama chino(chink wanaman) Kaa ukijua kuna pesa watu mtaani wanaimagine(mtaani wanaimagine) Ili kutoboa huku mjini wanakushika mpaka najisi(kushika mpaka najisi) Roof top pnt baby Majengo sokoni music Zeee tojoo Malume
Writer(s): Papa, Cosmas Paul, Maarifa, Moni Centrozone Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out