Clip vidéo

Clip vidéo

Crédits

INTERPRÉTATION
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Interprète
COMPOSITION ET PAROLES
Mathias Walichupa
Mathias Walichupa
Paroles/Composition

Paroles

[Verse 1]
Hizi ni sifa za moyo wangu
Nazileta kwako wee Mungu
Nakuomba Elohim
We zipokee
Hizi ni sifa za moyo wangu
Nazileta kwako wee Mungu
Nakuomba Elohim
We zipokee
[Verse 2]
Ulikonitoa Bwana wangu
Ni mbali sanaa
Ni mbali sanaa
Sikudhaniwaa
[Verse 3]
Na ulinichagua mimi Bwana
Na udhaifu waangu
Ulinipenda mimi
Pasi na sababu
[Verse 4]
Sasa narudisha sifa Bwana (Sifaa)
Narudisha sifa Bwana
Na heshima uzipokee
Tena nanyenyekea (Nanyenyekea Bwana) kwako wee
Nanyenyekea kwako wee
Yesu Mwokozi
Wa maisha yangu
[Chorus]
(Oh narudisha) Narudisha sifa Bwana
Narudisha sifa Bwana
Na heshima uzipokee
Tena nanyenyekea kwako wee
Nanyenyekea kwako wee
Yesu Mwokozi (Yesu mwokozi ) wa maisha yangu (Wa maisha yangu Bwana)
[Bridge]
Woo, woo woo
Woo, woo woo
Woo, woo woo
Haleluyah, halleluya
Woo, woo woo
[Outro]
Kwa shangwe nazileta kwa shangwe
Kwa shangwe nazileta kwa shangwe
Sifa za moyo wangu
Bwana zipokee
Written by: Mathias Walichupa
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...