Paroles

Anita (iye iyee) Anita wangu (uwo uwo) Lelele lilele iye iyee Nasukuma sukuma, ili siku ziende Urudi nyumbani tuishi pamoja Nasikia mazoea yanatabu, leo ndio naamini Tangu uondoke Anita raha nakosa mimi Hukumbuki tulilishana yamini Kwamba mimi na wewe Maisha milele mpaka nafukiwa chini Ni mawazo yanautesa moyo wangu Anita nielewe iyee Natamani uyajue ili unilinde mimi Sijajua uliwaza nini Anita kuwa mbali na mie iyee Hata hilo nilijue ili nisaishwe mimi Kama ni maradhi, mimi ndio wako dakitari Unambie mapema ili dawa yake niijue Ama ni waradhii iiih hiii Anii. Anita (iye iyee) Anita wangu (uwo uwo) Lelele lilele iye iyee Nasukuma sukuma, ili siku ziende Urudi nyumbani tuishi pamoja Unajua mi nilikupendaa zaidi Ila ya dunia we yalikuzidi Nilitamani kuwa nawe zaidi Kuliko yoyote unayemdhani Siku zote uko safarini kuniacha mimi upweke Mi nilikupenda sana we mpenzi Je kweli wataka kunienzi? Au unataka kunitia mi mashakani? Kikuyu zaenda kama chizi, ni yangu njiani naongea Hiyo yote sababu yako Anita kilio pokea Chefu na majirani mtani wanakuulizia Sina la kuwajibu nabaki kama chizi najililia Waliniambia nikuache wewe Ili mi niishi mwenyewe Masikio nikaziiba, vipi niishi bila wewe Wakasema hutonithamini, wala haikuniingia akilini Mbuzi gita wakapiga jua wewe ndio wa maishani Anita wewe umeumbika mama Kila upitapo nyuma lawama Sijiwezi mtoto wa kitanga Kwako taabani nishabwaga manyanga Anita wewe umeumbika mama Kila upitapo nyuma lawama Sijiwezi mtoto wa kitanga kwako taabani Anita, nakuita. Anita (iye iyee) Anita wangu (uwo uwo) Lelele lilele iye iyee Nasukuma sukuma, ili siku ziende Urudi nyumbani tuishi pamoja Pamoja, pamoja na Dunga Ndani ya 49 Records Pamoja iih na Jide (aan haa, ah Jide) Mkata, ndani ya 49 Records (oh pamojaa!)
Writer(s): Matonya Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out