album cover

Ntade

56 532Afro-Beat2024
album cover
Ntade est sorti le 23 juin 2024 par 7359414 Records DK dans le cadre de l'album Ntade - Single
Date de sortie23 juin 2024
Label7359414 Records DK
LangueEnglish
BPM100
Qualité mélodique
Acoustique
Valence
Dansabilité
Énergie

Paroles

Ayy
Isibomza
Woah ouuuu
Ile mito milima tuliyopita uliiona
Nikavumilia nikang'ang'ana siunaona
Kuna vijidada vinadanga utaoona
Vikijipitisha vinatingisha utaonaa
Waambieee siongezi neno nishaweka nukta
Wajue nilitulia sikukurupuka
Waambieee umenibana sitofurukuta
Miee nipeleke vyovyote mwendo wa guta
Hata uuze karanga
Sawaa, sawaa
Nimeridhia kidogo tutachangao
Sawa, sawa (hey)
Wanasema umenipiga manyanga
Sawa, sawa
Niroge niue nimefundwa ndan ya kanga
Sawa, sawa
Nikombate kama mtoto
Nitadeka nitadee (nitadeka nitadee)
Tena unipe penzi moto moto
Nitadeka nitade
Baba wewe
Nitadeka nitade
Baba baba ba ba baaaa
Naheshimu maamuzi mana nimempenda mwenyewe
Nshayavulia nguo bwana acha niogee
Ananikuna panapokunika nikiwashwaaa
Ananishona palapo chanika sitomuachaaa
Ila unajuaga mimi mwenzako nakupenda napenda kwelikweli
Tena baby mwenzako mimi endapo ukinitenda utantenda kwelikweli
Hata uuze karanga
Sawaa, sawaa
Nimeridhia kidogo tutachanga
Sawa, sawa (hey)
Wanasema umenipiga manyanga
Sawa, sawa
Niroge niue nimefundwa ndan ya kanga
Sawa, sawa
Nikombate kama mtoto
Nitadeka nitadee (nitadeka nitadee)
Tena unipe penzi moto moto
Nitadeka nitade
Baba wewe
Nitadeka nitade
Baba baba ba ba ba
Nitadeka nitade
Nitadeeekaaa
Nitadeka nitade
Nitadeka, nitadeka, nitadeka, nitadeka
Nitadeka nitade (ohh ouu woah)
Nitadeka nitade
Kosaa
Nitadeka nitade
Kosaa
Nitadeka nitade
Kosawe
Nitadeka nitade
Oh my god it's better sound!
Nitadeka nitade
Written by: Hellen George Majeshi

Pied de page Shazam

Choisir la langue:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Suivez-nous

Loading...