Crédits

INTERPRÉTATION
Kassam
Kassam
Interprète
COMPOSITION ET PAROLES
Kassam Rashid
Kassam Rashid
Paroles/Composition

Paroles

NIAMBIE UNANIPENDA
NIAMBIE UNANIJALI
NIAMBIE KILA SIKU
NDO KITU NAPENDA
HUFIA KWA KIDONDA
INZI AKISHAPENDA
ME KWAKO SI KITU
UMECHANA KALENDA
NIMEGUNDUA
KWENYE HII DUNIA
KINACHOSUMBUA
NI MAPENZI
NAOMBA TAMBUA
KINACHONSUMBUA
KWENYE MOYO WANGU
NI YAKO MAPENZI
NAKUPENDA
SANA SANA
SANA
SANA SANA
SANA
SANA SANA
NAKUPENDA
SANA SANA
I LOVE YOU
SANA SANA
SANA SANA
USIENDE MBALI HATA KIDOGO
UKIENDA MBALI ME NITAJIFIA
KWENYE KUUMBWA KWANGU KWA UDONGO
MUNGU ALICHANGANYA NA WAKO PIA
SIKUDANGANYI HATA KIDOGO
ME NAKUPENDA NA NIMEJIFIA
WANAOSEMA NI MUONGO
NAMUACHIA MOLA ATANIJIBIA
HEE
HABARI HABARI
EX NAKUPA HABARI
NIMEPATA MCHUMBA HATARI
HATARI HATARI
NIMEGUNDUA
KWENYE HII DUNIA
KINACHOSUMBUA
NI MAPENZI
NAOMBA TAMBUA
KINACHONSUMBUA
KWENYE MOYO WANGU
NI YAKO MAPENZI
NAKUPENDA
SANA SANA
SANA
SANA SANA
SANA
SANA SANA
NAKUPENDA
SANA SANA
I LOVE YOU
SANA SANA
SANA SANA
Written by: Kassam Rashid
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...