Clip vidéo
Clip vidéo
Crédits
INTERPRÉTATION
luuvany
Interprète
Zuy
Interprète
KP Star
Interprète
Al Habib Nation
Piano préparé
COMPOSITION ET PAROLES
Al Habib Nation
Paroles/Composition
Paroles
Kwaheri mgeni mwema mtukufu ramadhani
Mgeni mwenye heshima ulotujaza imani
Assalaaam alaykum yaa ikhwatul iimaan
Yaa shahrul Qur an
Yaa shahrul Qiyaam
Yaa shahrul Ihsaan
Ahlan wasahlan wa marhaban yaa Ramadhaan
Ramadhani mwezi mwema
Umekwisha takasika sana
Kwaheri mgeni mwema mtukufu ramadhani
Mgeni mwenye heshima ulotujaza imani
Insttumental playing
Mwadau mwadau yaa Ramadhaan x 2
“Laa illaha illallah Muhammadun Rasoul llah”
“Yailahi turuzuku na utupe fadhila za Ramadhani”
Mwadau mwadau yaa Ramadhaan
Yaa shahrul iiman yaa Ramadhaan
“Yarabbi waja wako hatuja kamilika, na akamilifu wote ni wa kwako wewe yaa Rabby”
“Tusameh madhambi yetu na utupe fadhila za ramadhani”
Mwadau mwadau yaa Ramadhaan
Yaa shahrul Qur an yaa Ramadhaan
“Yaa Rabby kuna wazazi na wengineo waliotangulia mbele za hakki hawakuweza kufika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, yaa Rabby wajaalie pepo ya jannat firdausi”
Mwadau mwadau yaa Ramadhaan
Yaa shahrul Ihsaani yaa Ramadhaan
Mwadau mwadau yaa Ramadhaan x 2
Kwaheri mgeni mwema mtukufu ramadhani
Mgeni mwenye heshima ulotujaza imani
Written by: Al Habib Nation