Paroles

Oh oh Dunia ina mambo bana Usishangae sana, sana Tena sana, sana (eh ehe eh) Hata mimi nashanga bana Ukiniona waniona na aibu sana Wasee wangu kwa mtaa wanawika bana Siku hizi naogopa kuomba Bwana Juu hata mifuko za wakora zaimba Hosana Walinipa uongo nami nikakubali nikamfuata nyuki Nikalimwa na asali Weka tumbo mbele wacha akili nyuma Maiti kavalia Walisema sikuskia, ooh Mama na baba walinighusia ewe kijana Kuwa mwanangu jionee Dunia ina mambo Yao sikuyasikiza Sasa mimi najuta Kweli najionea Dunia ina mambo Hey Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo (Dunia ina mambo sana) Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo Dunia ina mambo ooh Nafunga bao Niite pita dao Ubaya ya binadamu Ni rahisi kusahau Changu ni chetu Lakini Chako ni chako Mtu wangu ah aah wacha vako Marafiki wamekuwa manafiki bana Najionea tena kushangaa sana Niliacha kuwa mjinga, (nini) Ati sasa najiringa Ukistaajabu ya Musa ya Firauni bado Walinambia kijana Jihadhari na 'limwengu Hao walimwengu si wazuri kwako kijana Yao sikuyasikiza Sasa mimi najuta Kweli najionea Dunia ina mambo Hey Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo (Dunia ina mambo sana) Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo Dunia ina mambo ooh Ukiwa nao leo marafiki ni wengi sana Watakusifu -ooh wewe kijana mzuri Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo Ukiwa hunao wengi wanakukimbia Na mengi kusema wewe kijana mbaya Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo (Dunia ina mambo) Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo (Dunia ina mambo sana) Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo (Dunia ina mambo bana) Dunia ina mambo ooh Dunia ina mambo Dunia ina mambo ooh ooh wo wo wo wo wo wo Dunia ina mambo Dunia ina mambo Dunia ina mambo Ah aah aaah Ah aah aaah
Writer(s): Edward John Campbell Ashcroft, Paul Jonathan Ivan Vials, Ngoy Lusambo, Saidi Salum Jumaine Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out